Eva Case itakusaidia kuhifadhi vifaa vyako wakati wote na kukulinda na upotevu au usahaulifu.
Nikiwa mwanafunzi wa udaktari nilikuwa nikipoteza sana pen torch na vifaa vingine. Pia nilishuhudia wanafunzi wenzangu wakivunja sana thermometers zao kwa kwa bahati mbaya. Upotevu wa vifaa ulisababishwa na kusahau vifaa pale ninapomaliza kutumia ninapo mpima mgonjwa au kuvisahau clinic au hata darasani.
Wacha hiyo, ilikuwa ngumu kuhifadhi vifaa, kila kifaa kilikuwa kinahifadhiwa sehemu yake. Wakati mwengine unasahau kubeba baadhi ya vifaa. Inaweza kutokea hata ukiwa unakwenda kwenye mtihani. Sasa kuna suluhisho litakalokuwezesha kuepuka uharibifu na upotevu wa vifaa.
Kifaa: Upuka kupoteza, kuharibu vifaatiba vyako huku ukivifadhi kisasa kwa kutumia EVA Case. Kabegi haka kazuuri kametengenezwa mahususi kubebea vifaa tiba. Ina ugumu utakaokuepusha na uharibifu wa vifaa vinavyovunjika kiurahisi. Pia haiingii maji na hivyo kuepusha uharibifu unaosababishwa na maji.
Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Bei nafuu. Huna hofu ya kutapeliwa au uharibifu, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.
Namna ya kutumia: EVA case, begi hili muhimu kuwa nalo linatumiwa na wanafunzi kwenye fani za afya na wahudumu wa Afya katika ngazi zote, clinical medicine, Medicine, Nursing, na Physiotherapist
Reviews
There are no reviews yet.