fbpx

Sasa Tunajaza Oxygen. Huduma Hii Utaipata Hapa Hapa Moshi

Kwa Mahitaji yako ya Oxygen Usisite Kutuulize.

Tumedhamiria kushirikiana na kampuni yako ili tukue pamoja.

Health Equipment Solutions tunaamini Kwama Biashara yako Ikikuwa na Yetu Itakuwa pia.

Tutakuwa na Huduma za aina tatu (3) zinazohusiana na Oxygen.

  1. Kujaza Mitungi Oxygen
  2. Kukodisha mitungi ya Oxygen
  3. Kuuza Oxygen Cylinders na vitu vyake: regulators, mask 
HES Oxygen Cylinder refilling. HES imedhamiria kukuhakikishia usalama wako kwa kukupatia vifaatiba bora pindi dharura ya kiafya inapojitokeza.

Gharama Zetu Zitakuwa Kama Ifuatavyo

Kukukodishia Mitungi

Ungependa Kufahamu Zaidi? Tafadhali bonyeza Tuulize Sasa 

Kukujazia Mtungi Wako

Ungependa Kufahamu Zaidi? Tafadhali bonyeza Tuulize Sasa 

Vifaa VIngine Tulivyonavyo

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Tunajaza Oxygen?
Mimi ni Dr. Adinan