Oxygen Cylinders

5/5
Okoa maisha hali ya dharura inapojitokeza unapokuwa na Oxygen Cylinder. Dharura ya kukosa hewa ni hatari. Kwani binaadamu hutegemea hewa kuishi-hewa safi.
 
Ikiwa unaugua magonjwa yanayosabaisha kutokupumua vizuri Tunakupatia kifaa hichi kwa bei ya offer.
 
Au kama ni mfanyabiashara ya utalii ukiwa na mtungi wa oxygen utahakikisha na kuokoa maisha ya wateja na wafanyakazi wako inapoteokea dharura inayohitaji tiba ya hewa ya oxygen.
 
Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Huna hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenye uzoefu wa kutosha kufundisha matumizi sahihi ya vifaa tiba. Tutakupatia ushauri bure na Huduma Bora hata baada ya kununua.
 
Faida Unayopata utakaponunua kwetu:
1️⃣ Ongezeko la kipato kwa kuwa utapata sifa kwa kutii masharti na sifa nzuri kutoka kwa wateja wako. Vyote hivi vitakuongezea umaarufu na hivyo wateja wengi zaidi.
2️⃣ Mafunzo ya kitaalamu bure
3️⃣ Ushauri baada ya mauzo. Huna hofu ya kutapeliwa, tunakupatia warranty ya miaka 3.
 
Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia Oxygen Cylinder ili kuweza kuokoa maisha dharura inapojitokeza.
 

Sh 380,000.0

Availability: In stock

SKU OC01 Category

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Oxygen Cylinders”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Oxygen Cylinders leo. Nini ungependa kuuliza?