fbpx

BP Machine + Stethoscope

5/5

Changamoto: Mwanafunzi kwenye fani ya afya na unahitaji vifaa bora kwa mafunzo yako? Tena vyenye warranty mpaka umalize chuo? Tena kwa bei nafuu bila kuathiri ubora? Leo tunakupatia BP Machine yenye Stethoscope kwa ajili ya mafunzo yako na kutoa huduma kwa wagonjwa wako.

Kifaa: Kifaa hichi ni muhimu kwa wanafunzi kwenye fani za afya na wahudumu wa Afya katika ngazi zote, clinical medicine, Medicine, Nursing, na Physiotherapist

Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Bei nafuu. Huna hofu ya kutapeliwa au uharibifu, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua.

Namna ya kutumia: Tutakuelekeza namna ya kutumia ili kupata majibu sahihi.

Sh 70,000.0

Availability: In stock

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “BP Machine + Stethoscope”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata BP Machine + Stethoscope leo. Nini ungependa kuuliza?