Sera ya Faragha
Inahusu Websites na Programu zote za AFYATech chini ya Dr. Adinan J.
AfyaColleges
AfyaPlans
UzaziSmart
Daktari Wangu
Utangulizi
Tovuti na programu zetu zinazingatia umuhimu wa faragha ya watumiaji wetu. Sera hii inahusu tovuti: afyatech.com na afyacolleges.org, pamoja na programu zetu zote za simu.
Ukusanyaji wa Taarifa
Tunaweza kukusanya taarifa binafsi kama vile jina, barua pepe, na namba ya simu unapojisajili. Taarifa hizi zinatusaidia kuboresha huduma na kuwasiliana nawe kuhusu huduma zetu kwa ufanisi zaidi.
Ulinzi wa Taarifa
Usimamizi na Usalama wa Data:
- Tunahifadhi taarifa zako kwa muda wa **miaka 3** katika sehemu salama ambapo asiyehusika haruhusiwi kabisa kuzifikia.
- Hatutauza, kukodisha au kushirikisha taarifa zako binafsi kwa watu wa tatu bila idhini yako ya moja kwa moja, isipokuwa kwa mujibu wa sheria.
- Muda wowote ukihitaji, unaweza kuzifuta taarifa zako zote kama tunavyoelekeza katika sehemu ya “Haki ya Kufuta Data” hapa chini.
Kufuta Data na Akaunti
Unao uwezo kamili wa kufuta data zako wakati wowote.
Delete My Data / Account
*Kitufe hiki kinapatikana ndani ya ukurasa wa taarifa zako kwenye kila App yetu.
Maswali au Wasiwasi?
Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia barua pepe:
adinan.career@gmail.comChini ya usimamizi wa: Dr. Adinan J.