Ishi Kwa Furaha Bila Wasiwasi

Offer Maalum Kwa Wiki Hii

Pata vifaa vyote 6 kwa TSh. 230,000/- badala ya bei yake halisi ya ~~TSh. 347,000/-~~. (Unaokoa TSh. 117,000/- Papo Hapo!)

Ofa Hii Inaisha Mara Tu Seti 10 Tulizotenga Zitakapokwisha. Wahi Yako Sasa!

Dhibiti Kisukari Nyenzo 5 Muhimu Kuwa Nazo Nyumbani 1080 1024x1024

HES-P-D-DM-2_22878

Unaweza kudhibiti Kisukari: Kupima na Kufuatilia Kunakupa Amani

“Mimi ni Dr. Adinan J., na kwa uzoefu wangu wa miaka 10 nikiwahudumia wagonjwa, nimeona mateso yanayosababishwa na kisukari kisichodhibitiwa.

Wengi wanaishi kwa hofu ya madhara makubwa kama:

  • Presha ya Juu inayosababisha Kiharusi (Stroke).
  • Vidonda vya Miguuni vinavyoweza kusababisha ulemavu wa kudumu.
  • Upungufu wa Nguvu za Kiume na kushindwa kufurahia tendo la ndoa.
  • Gharama kubwa za matibabu ya madhara haya hapo baadaye.

Lakini habari njema ni kwamba, UNAWEZA KUJIKINGA. Kuwa na vifaa sahihi nyumbani sio anasa, bali ni uamuzi wa busara unaokupa AMANI na UHURU wa kuishi maisha yako kikamilifu.”

Uwe makini na nini?

Ndani ya Seti Hii Maalum Utapata Vifaa 6 Muhimu:

Kipimo cha Sukari-Gluconavii

Kiwango cha Sukari

Fahamu kiwango chako cha sukari kwa kufuatilia ukiwa nyumbani.

kitabu kinachofundiksha kudhibiti kisukari kwa vyakula

KITABU CHA MWONGOZO WA MLO

Sahau kubahatisha! Jifunze aina, kiasi, na jinsi ya kuchanganya vyakula mbalimbali ili kushusha na kudhibiti sukari yako kwa ufanisi.

Monofilament-kipimo kitakachokusaidia kuepuka Vidonda miguuni kwa kufahamu utimamu wa mishipa ya fahamu na kuchukua hatua stahiki mapema

Mishipa Fahamu

Epuka vidonda miguuni kwa kutathimini kama uko kwenye hatari.

Kipimo Cha Uzito Mizani Weigh Balance Black Bluetooth

MIZANI YA UZITO (Digital Weight Scale)

Kudhibiti uzito ni nguzo muhimu katika safari ya kudhibiti kisukari. Fuatilia maendeleo yako kwa urahisi.

Kipimo cha presha cha kiganjani aina ya pili

Kiwango cha Presha

Sukari huongeza hatari ya kupata presha. Kuwa na kipimo cha presha

Fuatilia Sukari Yako AfyaPlan App 768x1383

AFYAPLAN APP (Mwongozo Dijitali)

Rekodi vipimo vyako vyote, fuatilia mienendo, na pata mapendekezo ya milo kiganjani mwako.

Unapata Nini?

Faida ya Kuwa na Vifaa Sahihi

1. Uhakika

Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti kisukari...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima

Faida ya 2: Epuka Madhara

Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwa kuchukua hatua mapema

Faida ya 3: Furahia Maisha

Bila hofu, utafurahia maisha kama zamani. Sasa unafahamu kila kitu kwa uhakika, hakuna hisia zinazokuzonga tena!

Fahamu Namna VIfaa hivi vinawasaidia wengine

Ungana na Zaidi ya Wateja 200 Wanaonufaika

“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”

Mr. John Lusingu, Njombe

Engineer

“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”

Ms. Asia Haruna, Mwanza

Mfanyabiashara

“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”

Mr. John Mbaga, Dar

Mwalimu

Ungependa Kufahamu

Majibu ya Maswali Tunayoulizwa mara nyingi na wateja wetu

Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza

Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.

Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi. 

Kuweka oda kwenye website yetu kuna rahisisha huduma ikiwa tatizo lolote litatokea kwenye kifaa. 

Mfano tutafahamu kwa haraka uko wapi na bidhaa uliyochukua na nani alikuhudumia. Hivyo itapunguza muda wa kutatua changamoto. 

Pia tumeweka warranty yako kwa Email kwasababu ni ngumu kupotea kuliko risiti ambayo ukiacha kupotea, huweza kufutika pia/

Pata Ofa Yako Sasa Kabla Haijaisha!

Vipate leo! Okoa TSh. 117,000/=
Chukua hatua leo kulinda afya yako. Seti ni chache sana!

0

Subtotal