Dhibiti & Epuka Madhara Ya Presha Kwa TSh. 119,000/

1- Tumia Kipimo cha Presha Kufuatilia, Kufahamu na Kuchukua hatua stahiki mapema​

2- Fahamu vyakula vitakavyokusaidia kudhibiti presha yako! Pata Kitabu BURE!

Dhibiti Presha Kwa Vyakula! Ukilipia Wakati wa Offer Unapata Kipimo & Muongozo wa Kudhibiti Presha kwa Vyakula!

Kwanini Unahitaji Kipimo na Kitabu?

Faida ya 1: Tathmini tiba

Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti presha...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima

Faida ya 2: Epuka Madhara

Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwa kuchukua hatua mapema

Faida ya 3: Furahia Maisha

Bila hofu, utafurahia maisha kama zamani. Sasa unafahamu kila kitu kwa uhakika, hakuna hisia zinazokuzonga tena!

Offer Isiyojirudia. Kipimo cha Presha na Kitabu cha kudhibiti Presha kwa Vyakula kwa TSh. 119,000/= badala ya TSh. 198,000/=

Fahamu Ubora wa Kipimo Hiki?

Kipimo Cha Presha Cha Kiganjani Technologia Ya Juu 150x150

Urahisi wa kutumia

Unavaa sehemu ya saa pia inabebeka

Kipimo Cha Presha Cha Kiganjani Namna Ya Kupima Presha E1763201289976 150x150

Urahisi wa kutafsiri majibu

Kipimo hiki kitakutajia majibu kwa sauti

Kipimo cha presha cha kiganjani chenye majibu sahihi

Majibu sahihi

Kutokana na teknolojia ya kisasa sahihi

Kipimo cha presha cha kiganjani kinachotoa majibu kwa sauti

Fahamu Namna VIfaa hivi vinawasaidia wengine

Ungana na Zaidi ya Wateja 700 Wanaonufaika

“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”

Mr. John Lusingu, Njombe

Engineer

“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”

Ms. Asia Haruna, Mwanza

Mfanyabiashara

“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”

Mr. John Mbaga, Dar

Mwalimu

Pata Majibu Sahihi ya Presha yako Kipimo kinatumia technologia ya hali ya juuu

Fahamu presha yako kazini, na hata ukisafiri. Kutokana na Urahisi wa Kubebeka

Maswali Tunayoulizwa Mara kwa Mara

Majibu ya Maswali Tunayoulizwa mara nyingi na wateja wetu

Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza

Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.

Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi. 

Kuweka oda kwenye website yetu kuna rahisisha huduma ikiwa tatizo lolote litatokea kwenye kifaa. 

Mfano tutafahamu kwa haraka uko wapi na bidhaa uliyochukua na nani alikuhudumia. Hivyo itapunguza muda wa kutatua changamoto. 

Pia tumeweka warranty yako kwa Email kwasababu ni ngumu kupotea kuliko risiti ambayo ukiacha kupotea, huweza kufutika pia/

Jaza Taarifa Zako Kisha Bonyeza Weka Oda Sasa!!

Taarifa Zako Muhimu

Additional information

Show Order Summary
TZs 178,000.0
ProductSubtotal
Kipimo Cha Presha - Kiganjani - BII
  × 1
TZs 149,000.0
Kula hivi Dhibiti presha: Vyakula vinavyoshusha presha
  × 1
TZs 29,000.0
SubtotalTZs 178,000.0
TotalTZs 178,000.0

Malipo

Your order

ProductSubtotal
Kipimo Cha Presha - Kiganjani - BII
  × 1
TZs 149,000.0
Kula hivi Dhibiti presha: Vyakula vinavyoshusha presha
  × 1
TZs 29,000.0
SubtotalTZs 178,000.0
TotalTZs 178,000.0
Saa
Dakika
Sekunde
Offer Hii Imekwisha. Wasiliana na Dr. Adinan Kupata offer yako Maalum
0

Subtotal