Tulipoanza ilikuwa kama utani vile, wazo halikutokea sehemu nzuri....

Hadithi yetu inaanzia Mwaka 2008 wakati Dr. Adinan alipokuwa mwanafunzi wa udaktari. Yeye na wanafunzi wenzake walitapeliwa na kwa kupewa vifaa vibovu.

Alipokuwa mwalimu alishuhudia wanafunzi wake wanauziwa vifaa visivyo muhimu kwa mafunzo yao na kwa bei kubwa.

Mwaka 2016 akaamua kujitosa kukusaidia wewe kuwa na afya bora na kufikia malengo yako ya kiafya, watu binafsi, taasisi na mashirika kufikia malengo yao ya kiafya na hivyo kiuchumi.

Tumekuwa tukiwasaidia wanafunzi kupata vifaa tiba muhimu kwa mafunzo yao na kwa bei nafuu, huku akihakikisha ubora wa vifaa hivyo. HES tunaamini kwamba vifaatiba bora vitajenga daktari bora. Ndiyo maana HES warranty kwa wanafunzi ni mpaka wamalize chuo.


Company Registration-BRELA2020 HES iliandikishwa kuendeshwa kikampuni ili kuwafikia wanafunzi wengi zaidi. Kutokana na uhitaji wa vifaatiba, biashara ilikuwa kuwafikia kuwasaidia makampuni ya utalii kuaminika na wateja wao kwa kuwahakikishia usalma wa afya zao wapandap miliani kwa kuwapatia vifaatiba vinavyotumika kuokoa maisha wakati wa dharura za kiafya.[/caption]

Hivyo hivyo tumekuwa na kukufikia wewe nyumbani. Kwasasa unaweza kuepuka madhara yote ya kisukari, presha kwa mfano kiharusi, ulemavu wa kukatwa miguu kwasababu ya vidonda pale tu unapotumia vifaa vyetu kutathmini na hali yako ya afya tena ukiwa nyumbani.

Kutokana na mafunzo tunayokupa, sasa unaweza kujipima kwa uhakika na kufahamu kwa uhakika ukiwa nyumbani kuhusu hali yako ya kiafya kwa magonjwa haya ambayo yanaendelea kuchukua maisha ya watu katika umri mdogo na ambayo hayana dalili.

Ni lengo letu kukua zaidi na kuanza kusaidia hospitali na vituo vingine vinavyotoa huduma ya afya kufikia malengo yao ya kuwatibu kikamilifu wateja wao na kufikia malengo yao ya kifedha.

AFYATech tuko bega kwa bega na serikali kufanikisha malengo ya kuwa na jamii ya Tanzania yenye Afya.

Je,Tunaweza Kukuhudumia Ulipo?

Tunasambaza vifaa nchi nzima. Kama uko sehemu ambapo hatuna wakala wetu. Ili tukuhudumie kwa haraka, tunaomba utufahamishe ulipo ndugu.

Mawakala wetu na namba zao ni kama ifuatavyo:

🏘️ *Moshi:* 0783 552 959
1️⃣-Arusha : 0767 500 266 / 0782 500 267 – Farida
2️⃣-*Dar:* +255 714 260 612 / 0769 410 475 – Ibrahim
3️⃣-Dodoma : 0765 705 966 – Mwasiti
4️⃣*Mwanza:* 0756 304 366 – Yusuph
5️⃣– Zanzibar: 0717 644 744 – Abeid

Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Ili tukuhudumie kwa haraka na vizuri, Tungependa kufahamu ulipo

Tunaaminika

Tangu 2016 wanafunzi zaidi ya 3000

Ushauri

Wa Kitaalamu Kuhusu Vifaa Unavyohitaji.

Lipa baada

a kupokea na KURIDHIKA na vifaa ulivyoagiza

Warranty

kwa > 1.5Yrs. Mwanafunzi Mpaka umalize Chuo

Timu Yetu

Dk. Adinan anaongoza timu yenye uzoefu mkubwa katika huduma za matibabu. AFYATech imeundwa na timu yenye uzoefu mkubwa katika kufundisha shule za matibabu, kutoa huduma za matibabu na ushauri wa utafiti wa afya ya umma

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu About?
Mimi ni Dr. Adinan