Asante kwa Kujiunga na AFYAPlan!

Tunakushukuru kwa kujiunga na AFYAPlan!

Tuko hapa kukusaidia kufikia malengo yako ya afya na kudhibiti presha na kisukari kwa njia rahisi na yenye ufanisi.

Mchakato wa Kujiunga

  1. Malipo: Tafadhali lipia kiasi cha TSh. 4,900 kwa mwaka kwa kutumia namba ya simu 0783 552 959, Jina litakuja Juma Juma.

  2. Pokea Kitabu: Baada ya malipo, tutakutumia kitabu chako cha kwanza ambacho kitakusaidia kuanza safari yako ya AFYAPlan.

  3. Jiunge na Plan: Kwa ushirikiano wa karibu na wanachama wengine na wataalamu wa afya, tafadhali bonyeza HAPA kujiunga na kikundi chetu cha WhatsApp cha AFYAPlan.

Nini Kinachofuata?

  • Mafunzo ya Kina: Pata ufahamu wa kina kupitia makala, video, na sauti kuhusu lishe bora, mabadiliko ya mtindo wa maisha, na njia za kudhibiti presha na kisukari.

  • Ushauri Binafsi: Ushauri wa kila wiki kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu hatua unazoweza kuchukua kuboresha afya yako.

  • Vifaa vya Afya: Punguzo maalum la vifaa tiba muhimu kama vile vifaa vya kupima presha na sukari.

Anza Safari Yako ya Afya Bora

Tunatarajia kusafiri nawe katika safari yako ya afya bora. Ikiwa una maswali au unahitaji msaada zaidi, tafadhali wasiliana nasi.

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Thank you AFYAPlan Kisukari?
Mimi ni Dr. Adinan