Dr. Adinan Health Series

Dhibiti Kisukari Bila Kuacha Vyakula Unavyovipenda

Sukari yako bado iko juu hata baada ya kuacha ugali? Tatizo sio ugali pekee — bali ni mlo mzima.

Ofa Maalum: TZS 29,000/=
NUNUA KITABU SASA JARIBU KUSOMA BURE (PREVIEW)

Mbona Sukari Haishuki?

Watu wengi hudhani wameepuka wanga kwa kuacha sukari, lakini bado sukari yao inapanda. Ukweli ni kwamba:

🫘 Maharage yana wanga
🥦 Mboga zina wanga
🍎 Matunda yana sukari
📅

Mpango wa Siku 7

Utapata mfululizo wa mlo wa wiki nzima unaozingatia mazingira ya Kitanzania.

🥣

Asubuhi hadi Usiku

Mifano halisi ya nini ule unapoamka, mchana na kabla ya kulala bila kuchoka.

💡

Uelewa wa Vitendo

Kitabu kinachambua kila kikundi cha chakula kwa lugha rahisi inayoeleweka na kila mtu.

Je, Kitabu Hiki Ni Kwa Ajili Yako?

  • ✅ Una kisukari au unamlea mtu mwenye kisukari.
  • ✅ Unachanganyikiwa na ushauri tofauti wa vyakula.
  • ✅ Unahitaji mwongozo wa mlo salama na wa kudumu.
ANZA KUDHIBITI KISUKARI SASA

OFA YA MUDA MFUPI!

Bei ya Kawaida: 49,000 TZS

TZS 29,000/=

Usisubiri mpaka sukari ipande zaidi au upate madhara. Chukua hatua leo!

Maswali ya Mara kwa Mara

Kitabu kiko kwenye mfumo gani? Ni e-book (digital) ambayo unaweza kusoma kwenye simu, tablet au kompyuta wakati wowote.
Vipi simu ikiharibika au nikipoteza file? Usijali, mara tu baada ya kununua unakuwa na akaunti yako ambapo unaweza kupakua upya kitabu chako wakati wowote.
Nafanyaje Malipo? Tuna mfumo salama wa PesaPal unaokubali M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Kadi (Visa/Mastercard).
Scroll to Top