🤝
Jiunge na Timu ya Mawakala
Tengeneza kipato kwa kusaidia wengine kupata huduma bora za afya kupitia Bidhaa za AFYATech.
💰 Kamisheni Nono
Pata asilimia kwa kila mteja unayemleta.
📊 Dashboard Maalum
Fuatilia mauzo na mapato yako live.
⚡ Malipo ya Haraka
Pokea pesa zako kwa urahisi kupitia simu.