Ushauri Kuhusu Vifaa Tiba
Wengi wa wanafunzi wapya hununua vifaa visivyohitajika na vyenye ubra duni! Licha ya kupata MAELEKEZO kutoka kwenye vyuoni kuhusu vifaa vinavyohitajika, kwasababu ya Ugeni, wanafunzi wengi wapya na walezi wao wamekuwa wakipata changamoto ya vifaa vipi wanunue (kulingana na ubora) na wapi wanunue. Pia, huwa hawapati taarifa muhimu wakati wanapoamua kununua vifaa hivi kutoka kwa kampuni yeyote.