HES-P-D-BPA-12_18778
Hapo awali tumeona kama wewe ni mgonjwa wa presha na unataka kweli kuidhibiti na kuepuka madhara ya ugonjwa huu mbaya inabidi ufanye vipimo 9 muhimu.
Vipimo vya hospitali ambavyo hivi hufanywa mara chache na vile vya nyumbani ambavyo hutakiwa kufanywa mara kwa mara.
Vipimo 6 vifanywavyo hospitali ni:
1-Fanya vipimo 3 vya moyo: 1 –X-Ray ya kifua. 2- Pima Umeme wa Moyo: 3- Fanya Echocardiogram , 4-Pima hali ya Figo, 5-Pima macho, na 6-Kiwango cha mafuta kwenye damu.
Hapa chini nitakuelezea vipimo 3 muhimu vya nyumbani.
Kabla sijakwambia naomba nikupe takwimu hizi kwanza. Zaidi ya watu 3 kati ya 10 wana shinikizo la juu la damu lakini hawafahamu.
Hivi punde nitakwambia kwanini hawafahamu. Lakini ngoja nikwambie vipimo hivi kwanza.
Vipimo hivi muhimu vilivyothibitishwa kisayansi kusaidia kudhibiti na kuepuka madhara ya presha ni
Kukwambia kwanini ni muhimu tulijibu swali letu la juu kwanza.
Kwanini watu wanaendelea kufa au figo na moyo kufeli wakati presha inatibika na inadhibitika? Jibu ni la ajabu.
Jibu lenyewe ni Kwasababu presha haina dalili watu wengi wamekuwa wakichelewa kutafuta tiba na hivyo kupata athari za ugonjwa huu.
Si kama watu wengi wanavyofikiri kwamba watajua presha zao kwasababu kichwa kitawauma au kujisikia kichefu chefu.
Presha inaweza kuwa juu kiwango cha kupasua mishipa ya damu kwenye ubongo, figo, moyo na macho bila kuonesha dalili yeyote.
Ndiyo, maana watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha). Kwa ambao hawakufa wamekuwa wakipata kiharusi, matatizo ya moyo, figo nk.
Presha ni ugonjwa unaotibika kama ukitambulika mapema na kuchukua hatua stahiki.
LAKINI, Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu: kujipima tu!
Tofauti na wengi wanavyofikiri, Kufahamu hali yako ya afya kunakupa amani na uhuru. Na wala si hofu!
Tafiti zinaonesha kwamba wanachukua hatua za kujipima mara kwa mara huwa na maendeleo mazuri, mara sita zaidi ya ambao hawajipimi.
Unaweza kufuatilia afya yako mwenyewe na kuchukua hatua stahiki kabla ya madhara kujitokeza.
Kudhibiti kisukari ni uamuzi wa hekima, na uhuru wa kuishi maisha ya afya na furaha.
Tumekuja na ufumbuzi wa kukusaidia kuweza kutambua hali yako ya presha mapema tena UKIWA nyumbani.
Tutakupatia vifaa vyote hivi kwa bei ya punguzo:
Kuipata bonyeza kitufe kilichoandikwa PATA OFFER YAKO LEO
Offer inakwisha mwisho wa wiki hii.
Soma zaidi kuhusu faida ya vifaa hivi hapo chini pamoja na maswali tunayoulizwa sana!
Ina uwezo wa kupima watu 2 tofauti na kuhifadhi majibu halisi ya presha bila kuchanganya.
Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti presha...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima
Kipimo hiki cha presha kinawaka taa nyekundu kama presha iko juu screen kubwa inayorahisisha kusoma majibu.
Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwa kuchukua hatua mapema
Kipimo hiki hutoa wastani wa presha yako. Wastani ni muhimu kwani tunajua presha inabadilika badilika
Bila hofu, utafurahia maisha kama zamani. Sasa unafahamu kila kitu kwa uhakika, hakuna hisia zinazokuzonga tena!
“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”
Engineer
“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”
Mfanyabiashara
“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”
Mwalimu
Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress
Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.
👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.
Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza
Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.
Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi.
Kuweka oda kwenye website yetu kuna rahisisha huduma ikiwa tatizo lolote litatokea kwenye kifaa.
Mfano tutafahamu kwa haraka uko wapi na bidhaa uliyochukua na nani alikuhudumia. Hivyo itapunguza muda wa kutatua changamoto.
Pia tumeweka warranty yako kwa Email kwasababu ni ngumu kupotea kuliko risiti ambayo ukiacha kupotea, huweza kufutika pia/
Fanya maamuzi sahihi leo. Epuka madhra ya presha kwa kufahamua presha yako leo. Offer ni ya muda mfupi.