fbpx

Pata Mapato ya Ziada Chuoni na Kujiandaa kwa Mafanikio ya Baadaye!

Je, umewahi kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa na kuanzaa ujasiriamali wakati bado uko chuoni? Tunayo fursa ya kipekee kwako! Jiunge nasi kama wakala wa biashara ya vifaa tiba na ujifunze mbinu za kufanikiwa kiuchumi wakati bado uko chuoni. Hebu tuweke wazi, tunaelewa changamoto unazokabiliana nazo. Mahitaji ya pesa huongezeka kadri unavyoendelea na masomo yako. Gharama za

Read More »

Mambo 6 Muhimu Ya Kufanya Unapokuwa Likizo

Kama mwanafunzi wa fani za tiba, muda wa mapumziko ni fursa muhimu ya kupata nguvu mpya baada ya miezi ya kusoma na kufanya kazi kwenye hospitali. Hata hivyo, ni muhimu kutumia muda huu vizuri ili kubaki kwenye mstari na masomo yako na kuendelea kuimarisha ujuzi wako kama mtoa huduma za afya wa baadaye. Leo nakupa

Read More »

Kozi ya afya yenye soko zaidi ni ipi?

Unaposoma makala hii si kwamba utaelewa kwamba kila elimu ni nzuri na inalipa bali utafahamu namna ya kujiweka na kuitumia elimu yako kuweza kupata mapato ya kiuchumi kama upendavyo. Fahamu zaidi

Read More »

Kuwa Mtaalamu Bora Wa Afya! Fahamu Vifaa vya Mafunzo Kozi Za Afya

Kuwa na vifaa ni sawasawa na MAFANIKIO kwa mafunzo ya udaktari. Wengi wa wanafunzi huwa hawafahamu aina ya vifaa wanavyotakiwa kuwa navyo na hata UBORA. Hivyo wengi wamejikuta wakinunua eidha vifaa VINGI au VICHACHE au VISIVYOHITAJIKA…na Mbaya zaidi, VINAVYOHARIBIKA muda mchache baada ya kununua…

Read More »
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Ushauri kwa mwanafunzi?
Mimi ni Dr. Adinan