Pata Mapato ya Ziada Chuoni na Kujiandaa kwa Mafanikio ya Baadaye!
Je, umewahi kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa na kuanzaa ujasiriamali wakati bado uko chuoni? Tunayo fursa ya kipekee kwako! Jiunge nasi kama wakala wa biashara ya vifaa tiba na ujifunze mbinu za kufanikiwa kiuchumi wakati bado uko chuoni. Hebu tuweke wazi, tunaelewa changamoto unazokabiliana nazo. Mahitaji ya pesa huongezeka kadri unavyoendelea na masomo yako. Gharama za