Mawasiliano

Asante kwa kupenda kufahamu zaidi kuhusu huduma zetu.

Kwasasa tuko tuna ofisi Moshi, Kilimanjaro Chumba na B8, Jengo la Sundown Complex. Liko nyuma ya Leopard hotel mkabala na Shule ya Msingi Kibo.

Kwa kukujali na kupenda kukuwahishia huduma tuna wakala amabao utaweza kuchukua vifaa utakavyoagiza kutoka kwao.

Kwa mikoa ambayo hatuna wakala tutakusafirishia bidhaa unayoagiza ndani ya saa 24. 

Ifuatayo ni orodha ya mawakala wetu na namba zao za simu. 

  1. Arusha – Ms. Farida Tojo -0782 500 267
  2. Dar es salaam – Mr. Ibrahim Mushi – 0714 260 612
  3. Dodoma – Ms. Mwasiti – 0714 573 507
  4. Mbeya – Mr. Yahaya Lema 
  5. Mwanza – Mr. Yusuph Lema – 0756 304 366
  6. Singida – Dr. Ridiwan Manyuti – 0717 733 402
  7. Zanzibar -Mr. Abeid Ally – 0717 644 744
Makao Makuu ya ofisi za AFYATech na HES, Moshi, Tanzania. Tuko Sundown Complex, Room B8, Mkabala na Shule ya Msingi Kibo.

Headquarters

Bondeni Street Sundown Complex B8, Moshi,Kilimanjaro Tanzania.

WhatsApp

Click Here to send us a WhatsApp Message

Call Us

+255 783 552 959 / +255 652 626 482

Our Email

info@afyatechtz.
afyatec@gmail.com

Tutumie Ujumbe

Ofisi Zilipo Moshi Mjini

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Contact Us?
Mimi ni Dr. Adinan