Ishi Kwa Furaha Bila Wasiwasi

Pata Vifaa Vinavyokusaidia Kudhibiti na Kuepuka Madhara Ya Kisukari 

Kwa wiki hii utavipata kwa TSh. 265,000/- badala ya 347,000/-

Vipimo muhimu kwa mgonjwa wa kisukari

HES-P-D-DM-2_22878

Unaweza kudhibiti Kisukari: Kupima na Kufuatilia Kunakupa Amani

Kama daktari nafahamu, wagonjwa wa kisukari wanateseka kwa muda mrefu.

Madhara ya ugonjwa huu hatari yamekuwa kikwazo katika maisha yako.

Hatari kubwa inayowakabili wagonjwa wa kisukari ni presha ya juu, kiharusi, kushindwa kushiriki na kufurahia tendo la ndoa. 

Lakini la hatari ingine iliyo machoni mwa wagonjwa wa kisukari ni vidonda ambavyo vimekuwa chanzo kikubwa cha ulemavu.

Kama hufahamu, kisukari ndiyo chanzo cha pili cha ulemavu ukiacha ajali. Ndiyo. Ndiyo, ndiyo hivyo.

Lakini kumbe kama wewe ni mgonjwa unaweza kuudhibiti ugonjwa huu na kuepuka madhara yake. Kivipi?

Unawezaje Kuepuka Madhara Ya Kisukari?

Kuwa na elimu sahihi kutakuwezesha kudhibiti kisukari kwa vyakula. Ndiyo maana tunakupatia muongozo unaowasaidia wagonjwa wengi kudhibiti kisukari. Unapokuwa na kitabu hiki unafahamu aina, kiasi na namba ya kuchanganya vyakula hivi. 

Kufuatilia hali yako ya afya na kuchukua hatua stahiki mapema.

Kwa mfano, wagonjwa wa kisukari unaweza kupima viwango vyao vya shinikizo la damu mara kwa mara na kutambua mapema ongezeko la presha.

Hii inakupa fursa ya kuchukua hatua stahiki, kama vile matumizi ya dawa au mabadiliko katika lishe, kuzuia madhara zaidi.

Pia, unaweza kutumia kifaa kidogo kinachoitwa “monofilament” kujua kama wako kwenye hatari ya kupata vidonda. 

Zaidi ya hayo, kama mgonjwa wa kisukari unaweza kudhibiti kiwango chako cha sukari kwa kupima sukari mara kwa mara kwa kutumia glucometer.

Hii inakuwezesha kuchukua hatua mapema kuzuia hatari na madhara yanayoweza kutokea kutokana na kiwango kisichodhibitiwa cha sukari.

Hizi zote ni njia rahisi na unazoweza kuzifanya mwenyewe ukiwa nyumbani.

Tofauti na wengi wanavyofikiri, Kufahamu hali yako ya afya kunakupa amani na uhuru. Na wala si hofu! 

Tafiti zinaonesha kwamba wanachukua hatua za kujipima mara kwa mara huwa na maendeleo mazuri, mara sita zaidi ya ambao hawajipimi.

Unaweza kufuatilia afya yako mwenyewe na kuchukua hatua stahiki kabla ya madhara kujitokeza.

Kudhibiti kisukari ni uamuzi wa hekima, na uhuru wa kuishi maisha ya afya na furaha.

Unahitaji Vipimo Hivi Leo?

Kwa wiki hii tunakupatia nyenzo sita (6) muhimu ili udhibiti na kuepuke madhara ya kisukari ikiwamo vidonda kwa bei ya offer.

Utavipata vifaa vyote kwa 249,000/= badala ya Tsh. 347,000/=. Yani unaokoa TSh. 98,000/-

Unahitaji vifaa hivi leo kwani kisukari huleta madhara kila ambapo haijadhibitiwa!

Offer inakwisha tutakapotimiza seti 10 tulizozitenga.

Uwe makini na nini?

Unahitaji Kuwa na Vifaa Gani?

Kipimo cha Sukari-Gluconavii

Kiwango cha Sukari

Fahamu kiwango chako cha sukari kwa kufuatilia ukiwa nyumbani.

Kitabu cha Mlo

Fahamu Aina, Kiasi na namna ya Kuchanganya Vyakula ili uweze kudhibiti sukari yako

Monofilament-kipimo kitakachokusaidia kuepuka Vidonda miguuni kwa kufahamu utimamu wa mishipa ya fahamu na kuchukua hatua stahiki mapema

Mishipa Fahamu

Epuka vidonda miguuni kwa kutathimini kama uko kwenye hatari.

Uwiano wa Uzito

Kudhibiti uzito ni sehemu muhimu ya kudhibiti kisukari. Kipimo cha uzito kitakusaidia

Kipimo cha presha kinachopima kwa ufasaha

Kiwango cha Presha

Sukari huongeza hatari ya kupata presha. Kuwa na kipimo cha presha

Kinachoathiri Sukari

Kutunza kumbukumbu za vipimo ni muhimu. Afyaplan inakusaidia kufuatilia na kukupangia milo

Unapata Nini?

Faida ya Kuwa na Vifaa Sahihi

1. Uhakika

Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti kisukari...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima

Faida ya 2: Epuka Madhara

Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwa kuchukua hatua mapema

Faida ya 3: Furahia Maisha

Bila hofu, utafurahia maisha kama zamani. Sasa unafahamu kila kitu kwa uhakika, hakuna hisia zinazokuzonga tena!

Fahamu Namna VIfaa hivi vinawasaidia wengine

Ungana na Zaidi ya Wateja 200 Wanaonufaika

“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”

Mr. John Lusingu, Njombe

Engineer

“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”

Ms. Asia Haruna, Mwanza

Mfanyabiashara

“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”

Mr. John Mbaga, Dar

Mwalimu

Ungependa Kufahamu

Majibu ya Maswali Tunayoulizwa mara nyingi na wateja wetu

Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza

Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.

Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi. 

Kuweka oda kwenye website yetu kuna rahisisha huduma ikiwa tatizo lolote litatokea kwenye kifaa. 

Mfano tutafahamu kwa haraka uko wapi na bidhaa uliyochukua na nani alikuhudumia. Hivyo itapunguza muda wa kutatua changamoto. 

Pia tumeweka warranty yako kwa Email kwasababu ni ngumu kupotea kuliko risiti ambayo ukiacha kupotea, huweza kufutika pia/

Afya Yako Mikononi Mwako

Vipate leo! Okoa TSh. 65,000/= Anza leo kufuatilia afya yako ukiwa nyumbani na BP Machine, Glucometer, na Monofilament