Figo kufeli ni ugonjwa unaowatesa takribani watu 10-17 kati ya 100 Tanzania, na zaidi ya watu 5000 wakihitaji huduma ya kusafisha damu – dialysis au kubadilisha figo.
Madhara ya figo kufeli hujumuisha ya kiuchumi na kijamii. Gharama ni kubwa za matibatu ukiacha ukweli kwamba hazijasambaa.
Kisukari na shinikizo la damu la juu – presha ni sababu mbili kuu za figo kushindwa kufanya kazi (figo kufeli).
Changamoto kubwa ya magonjwa haya matatu, presha, kisukari na ugonjwa wa figo ni kutokuonesha dalili kwenye hatua za mwanzo.
Tiba inategemea sana kufahamu hali yako mapema na kuchukua hatua stahiki mapema.
Ndiyo maana leo tunakuwezesha kufuatilia hali yako ya afya tena ukiwa nyumbani.
Kupata offer hii bonyeza kitufe kilichopo mbele ya kipimo kinachosomeka IPATE LEO kisha utaendelea kujaza fomu itakayotuwezesha kukutumia kipimo chako.
Leo tumekupa punguzo la 60,000/-. Badala ya kuvipata vipimo hivi kwa Tsh. 209,000/- utavipata kwa 149,000/-
Faida kuu 4 za kuwa na vifaa hivi nimeziandika hapo chini
Namna pekee ya kufahamu kiwango cha presha yako ni kupima. Amua kuhusu tiba yako
Sasa unafahamu presha yako utachukua hatua stahiki kudhibiti ili kuepuka madhara ya presha.
Madhara ya presha yatapunguza kasi yako ya shughuli zako na kuyatibu ni gharama.
Unafahamu presha yako kwa uhakika. Umechukua hatua umedhibiti. Unakuwa na amani