Fahamu kwanini Unahijati Mashine ya Kupima Presha
Zaidi ya watu 3 kati ya 10 wana shinikizo la juu la damu lakini hawafahamu. Kwasababu presha haina dalili watu wengi wamekuwa wakichelewa kutafuta tiba na hivyo kupata athari za ugonjwa huu.
Watu wengi wamekuwa wakifariki kutokana na shinikizo la damu (presha). Kwa ambao hawakufa wamekuwa wakipata kiharusi, matatizo ya moyo, figo nk.
Presha ni ugonjwa unaotibika kama ukitambulika mapema na kuchukua hatua stahiki. LAKINI, Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu: kujipima tu!
Tumekuja na ufumbuzi wa kukusaidia kuweza kutambua hali yako ya presha mapema tena UKIWA nyumbani.
Tutakupatia MACHINE YAKO YA PRESHA LEO KWA BEI YA 99,000/= badala ya 149,000/=. Kuipata bonyeza kitufe kilichoandikwa PATA BP OFFER YAKO LEO
Tutakuelekeaza namna ya kutumia ikiwamo NAMNA SAHIHI ya kujipima mwenyewe!