Dibiti na Epuka Madhara ya Presha Kwa Kutumia

Kipimo cha Presha Kilichoboreshwa!

Kwanini Unahitaji Kipimo Cha Presha?

Presha inasababisha vifo kwa watu milioni 1 kila mwaka!

Figo kufeli, moyo kufeli na Kiharusi ni madhara 3 maarufu ya presha isipodhibitiwa 

Unaweza kudhibiti presha na kuepuka madhara. Lakini unaweza kujiuliza…

Mbona presha inaendelea kusababisha vifo vya ghafla?

Au kusababisha madhara mengine kila kukicha?

Sababu ni moja tu!

Presha ni Muuaji wa Kimya Kimya! Presha imepewa jina hili kwakuwa inaweza kuwepo kwa muda mrefu bila kuonesha dalili, huku ikileta madhara!

Maana yake, kama ungependa kudhibiti na kuepuka madhara ya presha, inakupasa kufahamu:

  1. Ili uepuke madhara ya presha inabidi kwanza utambue mapema kama una presha.
  2. Unaweza kuwa na presha bila kujua, hivyo inabidi
  3. Ufahamu namna sahihi ya kutambua kama una presha.

Tafiti zinaonesha kwamba wenye vipimo vya presha wanaweza kudhibiti na kuepuka madhara ya presha kuliko wasio navyo

Sababu ni Ukipima unafahamu, unachukua hatua stahiki mapema, na hivyo unadhibiti mapema. 

Mwisho wa siku unafurahia maisha. 

Tumekuja na ufumbuzi wa kukusaidia kuweza kutambua hali yako ya presha mapema tena UKIWA nyumbani.

HES-P-D-BDW-1_19016

HES-P-D-SET-D8_31212

HES-WB-01_1212

HES-P-D-DM-2_22878

DM-BP-01_12034

HES-P-D-BPA-12_18778

Bei ya Punguzo

Tunakupatia Kipimo cha Presha Leo Kwa TSh. 119,000/= badala ya 149,000/=. 

Bonyeza kitufe kilichoandikwa IPATE LEO KWA TSh. 119,000/= Kuweka Oda Yako

Faida 3 Za Kuwa na Kipimo Cha Presha

Faida ya 1: tathmini tiba

Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti presha...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima sukari

Faida ya 2: Dhibiti presha

Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwasababu utachukua hatua mapema

Faida ya 3: AMANI ROHONI

Utajua kwa Uhakika kiwango cha Presha. Hutokuwa mtu wa kuhisi kila unapojisikia vibaya

Sifa 3 Za Kipimo Hiki Cha Presha

Tumia na unayemjali 

Ina uwezo wa kupima watu 2 tofauti na kuhifadhi majibu halisi ya presha bila kuchanganya

Urahisi wa kusoma majibu

Kipimo hiki cha presha kina screen kubwa inayorahisisha kusoma majibu. 

 Urahisi wa kutafsiri Majibu

Kipimo huwaka taa ya rangi nyekundu kama una presha,  na huwaka rangi ya kijani kama shinikizo la damu yako liko sawa.

Punguza gharama 

kwa kutumia umeme, mbali na kukusaidia kuepuka gharama za battery hukupa majibu sahihi ya presha.

Kwanini Tunaaminiwa?

Uzoefu

Tangu 2016 tunaendelea kutoa huduma bora na adilifu

Ushauri

Wa Kitaalamu kutoka kwa Daktari wetu bure

Lipa baada

Kupokea na KURIDHIKA na vifaa ulivyoagiza

Warranty

Zaidi ya mwaka 1. Tutakusaidia hata baaada ya warranty kuisha

Ungependa Kuuliza?

Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza

Kuweka oda kwenye website yetu kuna rahisisha huduma ikiwa tatizo lolote litatokea kwenye kifaa. 

Mfano tutafahamu kwa haraka uko wapi na bidhaa uliyochukua na nani alikuhudumia. Hivyo itapunguza muda wa kutatua changamoto. 

Pia tumeweka warranty yako kwa Email kwasababu ni ngumu kupotea kuliko risiti ambayo ukiacha kupotea, huweza kufutika pia/

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

AFYATech tunakupa bidhaa uliyoiona na kuichagua kwenye website yetu. Ikiwa hutopendezwa na bidhaa yetu wakati umepokea tunakurudishia pesa yako

Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress

Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi. 

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.

Wasemavyo Wateja wetu

“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”
Mr. John Lusingu, Njombe
“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”
Ms. Asia Haruna, Mwanza
“Asante sana Dr. Adinan, mama yangu sasa amepata motisha ya kunywa dawa za presha baada ya kujipima na kuona presha inavyoshuka akitumia dawa"
Mr. John Mbaga, Dar

Una Maoni Gani Kuboresha Huduma?

Siku
Saa
Dakika
Sekunde
Offer Hii Imekwisha. Wasiliana na Dr. Adinan Kupata offer yako Maalum