Frequently Asked Questions
Q: Mko wapi?
A: Asante kwa msg Yako . Tuko Moshi Kilimanjaro. Kwa kujali Wateja wetu walioko kote nchini, tuna agents Arusha, Dodoma, Dar es salaam, Mwanza na Zanzibar. Kwa kujali wateja wetu, Tunasambaza vifaa vyetu nchi nzima na nchi jirani.
Q: Napataje Vifaa baada ya kuweka order?
A: 1. Wasiliana Nasi upewe maelekezo ya Kulipia; 2. Utawasiliana Address yako; 3. Utajadiliana namna ya Kutumiwa na Kuupokea Mzigo wako. Tunasafirisha nchi nzima! Tutafurahi kusikia kutoka kwako namna gani tunaweza kukuhudumia. Tutashukuru uki-follow pages zetu kujua offer zetu. Pia, tunaomba usambaze ujumbe huu kwa unaoona watanufaika. Kwasasa tuna Medical Sets za aina sita. Unaweza kutembelea page yetu kutizama zaidi, kuna bei ya kila bidhaa https://afyatechtz.com/store/ . Shukran kwa support
Q: Set Ina Vifaa Gani?
Hellow (JINA)a…Karibu sana. Shukran kwa kututumia msg. Kwasasa tuna Medical Sets za aina sita. Unaweza kutembelea page yetu kutizama zaidi, kuna bei ya kila bidhaa https://afyatechtz.com/store/. Tutafurahi kusikia kutoka kwako namna gani tunaweza kukuhudumia. Tutashukuru uki-follow pages zetu kujua offer zetu. Pia, tunaomba usambaze ujumbe huu kwa unaoona watanufaika. Asante kwa support