Tunakusaidia Kudhibiti na Kuepuka Madhara ya Kisukari
Kisukari ni ugonjwa wa muda mrefu unaosababishwa na viwango vya juu vya sukari kwenye damu kutokana na upungufu wa insulini au mwili kushindwa kuitumia insulini ipasavyo.Kisukari kinaweza kusababisha matatizo makubwa ya afya kama vile magonjwa ya moyo, figo, na upofu. Fahamu zaidi jinsi ya kudhibiti na kuzuia kisukari.