fbpx

Ishinde Presha: Kula Hivi

Je, unatafuta njia bora ya kudhibiti shinikizo la damu? “Ishinde Presha: Kula Hivi” ni kitabu chenye suluhisho!
Kitabu cha presha ya kupanda - ishinde presha kula hivi

Furahia Maisha kwa Kudhibiti Presha!

1. Kushusha Presha

Kwa kufuata maelekezo ya kitabu hiki, utaweza kupunguza presha yako kwa kiwango cha 8-14mmHg. Hii ina maana kuwa, kama presha yako ni 160/107mmHg, unaweza kuipunguza hadi kufikia 146/93mmHg. Kitabu hiki kinakupa mbinu rahisi na za vitendo za kuboresha afya yako kwa kuchagua vyakula bora.

2. Kuepuka madhara ya presha

Kupunguza presha yako kupitia maelekezo ya kitabu hiki husaidia kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na shinikizo la damu. Mbinu hizi za vitendo zitakusaidia kudhibiti presha na kuboresha afya yako kwa ujumla.

3. Kufurahia maisha

Kwa kudhibiti presha yako na kuboresha afya yako, utaweza kufurahia maisha zaidi. Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa vyakula bora vitakavyokusaidia kuishi maisha yenye afya na furaha.

Tuna Uhakika wa Ufanisi wa Kitabu Hiki!

Dr. asante. Nimefanikisha kushusha presha. Naendelea vizuri. Nasubiri kitabu kingine
Mathayo
Sina presha ila baada ya kuanza kupanga vyakula presha yangu sasa inachezea 120/70.
Ally
Nisengeweza kujua kuna kupanga vyakula na kama vingeweza kushusha presha yangu. Asante
Khadija

Kabala hujaweka Oda!

Mambo 3 ya Kufahamu

1-Tumekuwekea kitabu hiki kwenye mfumo rahisi kubebeka ili uwe nacho popote utakapokwenda.

2- Usiweke ODA kama hutolipia ndani ya saa 24: Tungependa kusaidia wahitaji wa haraka.

3- Ingawa vitabu halisi vipo - Kitabu hiki kiko kwenye mfumo wa soft copy au PDF (EBook). Ukiwa na simu yako tu unakuwa nacho.

Tutaarifu ukihitaji kitabu kilicho-printiwa!

  • 00Hrs
  • 00Mins
  • 00Secs

Kwanini Usomaji wa EBook Unavutia?

Ingawa baadhi ya wasomaji walikuwa na shaka kuhusu EBook, tuligundua mabadiliko makubwa baada ya kuwapa sura moja ya kitabu hiki katika mfumo wa soft copy. Walivutiwa sana na kuamua kuagiza nakala zao. Je, ni nini kiliwabadilisha?

Sababu hizi hapa:

 

Upatikanaji wa Haraka na Rahisi: Ukiwa na simu yako au kompyuta, unaweza kusoma kitabu chako popote pale na wakati wowote. Huna haja ya kusubiri usafirishaji – ndani ya dakika mbili baada ya malipo, unapata kitabu chako.

Urahisi wa Kusoma: Unaweza kurekebisha ukubwa wa herufi na mwanga ili kusoma kwa urahisi na kufurahia zaidi. Hakuna usumbufu wa kurasa zilizopindika au mwanga hafifu.

Kuelimika kwa Wakati: Kitabu hiki kimejaa taarifa muhimu za afya. Ukiwa na soft copy, unaweza kubonyeza viungo (links) na kuelekezwa kwenye tovuti yetu kwa taarifa za ziada, na hivyo kujifunza kwa kina na kwa haraka.

Kitabu cha presha ya kupanda - ishinde presha kula hivi

Wahi offer hii sasa

Jipatie Nakala Yako Leo: Usikose nafasi hii ya kipekee ya kupata elimu ya afya kwa urahisi na haraka. Lipia sasa na upokee kitabu chako papo hapo!

Wahi kabla bei kurudi TSh. 49,000!

Shopping Cart