Sasa Tunajaza Oxygen. Huduma Hii Utaipata Hapa Hapa Moshi
Kwa Mahitaji yako ya Oxygen Usisite Kutuulize.
Tumedhamiria kushirikiana na kampuni yako ili tukue pamoja.
Health Equipment Solutions tunaamini Kwama Biashara yako Ikikuwa na Yetu Itakuwa pia.
Tutakuwa na Huduma za aina tatu (3) zinazohusiana na Oxygen.
- Kujaza Mitungi Oxygen
- Kukodisha mitungi ya Oxygen
- Kuuza Oxygen Cylinders na vitu vyake: regulators, mask