Kuwa na Amani: Dhibiti Presha na Madhara Yake Kikamilifu
Presha Inaua Kimya Kimya
๐๐, ๐ฎ๐ง๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฆ๐๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐ข๐ค๐ข๐ณ๐จ ๐ฅ๐ ๐ฃ๐ฎ๐ฎ ๐ฅ๐ ๐๐๐ฆ๐ฎ (Presha)? bila kuonesha dalili? Shinikizo la juu la damu (๐๐ซ๐๐ฌ๐ก๐) unajulikana kamaย ๐ฆ๐ฎ๐ฎ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฆ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฆ๐ฒ๐. Imeitwa hivi kwasababu haina dalili kama vile magonjwa mengine! Hivyo watu wengi wamekuwa wakipata madhara kama kiharusi na kupata ulemavu wa kudumu na wengine kufa kwa sababu ya presha. Nani yuko katika hatari ya kupata presha?
Niko Kwenye Hatari ya Kupata Presha?
Tafiti zinaonesha ukiwa na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea hatari ya kupata presha inaongezeka. Tafiti zinaonesha kuwa w๐๐ญ๐ฎ ๐๐ ๐ค๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฉ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐๐ huendelea kupata madhara ya presha kwasababu tu ๐ก๐๐ฐ๐๐๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐๐ฆ๐๐ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ก๐ฎ๐ฎ!
Wewe unaweza kuepuka haya kwa njia moja tu! Kupima!
ย
Kipimo Kitanisaidiaje Kudhibiti Presha na Madhara Yake?
Wewe unaweza kuepuka haya kwa njia moja tu! Kupima! Ukijua mapema hali yako ya presha itakusaidia kuepuka gharama kubwa za matibabu mbeleni ukilinganisha na mwenzako aliyesubiri mpaka akapata madhara.ย
Presha inadhibitika. Nafahamu wengi wanafikiri ni dawa tuu ndo inadhibiti presha. Changamoto ingine ni kwamba wengi hawapendi dawa, hata mimi! Sasa ufanyaje?
Kwanza, fahamu kwamba dawa ni mojawapo ya tiba. Yani, kuna tiba zingine ambazo hudhibiti presha. Kwa kujua mapema hali yako ya presha Utaidhibiti presha kwa njia nyengine kama kuchagua vyakula na kupunguza uwiano wa zito na kimo. Hapa simaanishi kupunguza uzito tuu! Kifaa hichi kitakusaidia kufikia lengo lako la afya.ย
Tumepanga Kukusaidiaje?
Tumedhamiria kukusaidia kufikia lengo lako la kuwa na afya bora kwa kufanya mambo yafuatayo.
- Tayari tumeshakupa elimu kuhusu umuhimu wa kupima presha
- Tunataka kukuona bado una afya na isijokutokea kama inavyowatokea watu wengi ๐ฐ๐๐ง๐๐จ๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฉ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ukiwa tayari ๐ญ๐๐ฒ๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐๐ฆ๐๐ฌ๐ก๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฆ๐๐๐ก๐๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ก๐๐ญ๐๐ซ๐ข: kama vile moyo kuwa mkubwa, kiharusi, na figo kufeli.
- Tunakupa uwezo wa kuweza kufahamu hali yako ya afya haraka tena ukiwa nyumbani na uweze kuchukua hatua stahili haraka. Wiki hii tutakupatia BP machine kwa bei ya punguzo na kifaa kimoja cha kukusaidia kudhibiti uwiano wa uzito na urefu. Tutakupatia vifaa hivi kwa shilingi 109,000 wiki hii. Bei ya kawaida ni 140,00/=.ย
Fahamau faida ya kuwa na vifaa hivi
Kifaa: Kipimo cha Presha
Kipimo cha Shinikizo la damu (BP Machine): Takwimu zinaonesha kwa kati ya watu 10, wanne wana shinikizo la juu la damu. Pia, hatari ya kupata Shinikizo la juu la damu huongezeka zaidi kwa watu wenye umri wa miaka 30 na zaidi.
Faida ya kuwa na kipimo cha presha ni kama ifuatavyo:
- Epuka madhara yatokanayo na presha kwa kugundua mapema zaidi – Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) kujipima tu!
- Fahamu maendeleo yako katika kudhibiti presha yako
- Epuka msongamano hospitali – jipime ukiwa nyumbani
- Unaweza kujipima presha ukiwa popote sasa. Kinabebeka na chaji inadumuย ย
Kifaa: Kipimo cha Uwiano wa Uzito na Urefu
- Fahamu uziito wako kwa uhakika
- Epuka madhara ya uzito mkubwa kwa kuchukua hatua stahiki mapema
- Tathmini kama njia unazotumia kupunguza uzito zinafanya kazi kama ulivyotegemea
- Unaweza kutumia muda wowote na haihitaji nishati yeyote
- Unaweza kwenda nayo popote
Usisubiri mpaka upate kiharusi au figo kufeli. Pata mashine ya kupima presha LEO!ย