fbpx

Dibiti na Epuka Madhara ya Presha Kwa Kutumia

Kipimo Kipya cha Presha Cha Kisasa!

Presha inasababisha vifo kwa watu milioni 1 kila mwaka!

Figo kufeli, moyo kufeli na Kiharusi ni magonjwa 3 maarufu hutokea presha isipodhibitiwa 

Unaweza kudhibiti presha na kuepuka madhara. Lakini bado presha inaendelea kuathiri watu! Kwanini?

Muuaji wa Kimya Kimya! Presha inaweza isioneshe dalili!

Maana yake – Lazima Upime ili Kufahamu, Kufuatilia na Kudhibiti

Muuaji wa Kimya Kimya! Presha inaweza isioneshe dalili!

Tumekuja na ufumbuzi wa kukusaidia kuweza kutambua hali yako ya presha mapema tena UKIWA nyumbani.

Tunakupatia Kipimo cha Presha Leo Kwa TSh. 99,000/= badala ya 149,000/=. 

Bonyeza kitufe kilichoandikwa IPATE LEO KWA TSh. 99,000/=

Faida 3 Za Kuwa na Kipimo Cha Presha

Faida ya 1: tathmini tiba

Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti presha...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima sukari

Faida ya 2: Dhibiti presha

Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwasababu utachukua hatua mapema

Faida ya 3: AMANI ROHONI

Utajua kwa Uhakika kiwango cha Presha. Hutokuwa mtu wa kuhisi kila unapojisikia vibaya

Sifa 3 Za Kipimo Hiki Cha Presha

Tumi pamoja na unayemjali 

Inakuwezesha kufahamu majibu halisi ya presha yako na ya mwenza wako bila kuchanganya

Urahisi wa kufahamu presha yaka

Kipimo hiki cha presha kina kiashiria cha Shirika la Afya Duniani kitakachokuonesha kama una presha. 

 Urahisi wa kutafsiri Majibu

Kipimo hiki cha presha huwaka taa ya rangi nyekundu kama una presha,  na huwaka rangi ya kijani kama shinikizo la damu yako liko sawa.

Punguza gharama 

kwa kutumia umeme, mbali na kukusaidia kuepuka gharama za battery hukupa majibu sahihi ya presha.

Wasemavyo Mteja wetu

“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”
Mr. John Lusingu, Njombe
“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”
Ms. Asia Haruna, Mwanza
“Asante sana Dr. Adinan, mama yangu sasa amepata motisha ya kunywa dawa za presha baada ya kujipima na kuona presha inavyoshuka akitumia dawa"
Mr. John Mbaga, Dar

Jiondoe kwenye hatari!

Okoa TShs. 30,000/= na Usafiri bure! Bonyeza Ipate Leo!

Ipate Leo Kwa TSh. 99,000/=!
Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Kufahamu presha yako ni kama tochi kwenye giza nene?
Mimi ni Dr. Adinan