Privacy Policy | AFYATech

Sera ya Faragha

Inahusu Websites na Programu zote za AFYATech chini ya Dr. Adinan J.

AfyaColleges AfyaPlans UzaziSmart Daktari Wangu

Utangulizi

Tovuti na programu zetu zinazingatia umuhimu wa faragha ya watumiaji wetu. Sera hii inahusu tovuti: afyatech.com na afyacolleges.org, pamoja na programu zetu zote za simu.

Ukusanyaji wa Taarifa

Tunaweza kukusanya taarifa binafsi kama vile jina, barua pepe, na namba ya simu unapojisajili. Taarifa hizi zinatusaidia kuboresha huduma na kuwasiliana nawe kuhusu huduma zetu kwa ufanisi zaidi.

Ulinzi wa Taarifa

Usimamizi na Usalama wa Data:

  • Tunahifadhi taarifa zako kwa muda wa **miaka 3** katika sehemu salama ambapo asiyehusika haruhusiwi kabisa kuzifikia.
  • Hatutauza, kukodisha au kushirikisha taarifa zako binafsi kwa watu wa tatu bila idhini yako ya moja kwa moja, isipokuwa kwa mujibu wa sheria.
  • Muda wowote ukihitaji, unaweza kuzifuta taarifa zako zote kama tunavyoelekeza katika sehemu ya “Haki ya Kufuta Data” hapa chini.

Kufuta Data na Akaunti

Unao uwezo kamili wa kufuta data zako wakati wowote.

Delete My Data / Account

*Kitufe hiki kinapatikana ndani ya ukurasa wa taarifa zako kwenye kila App yetu.

Maswali au Wasiwasi?

Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia barua pepe:

adinan.career@gmail.com

Chini ya usimamizi wa: Dr. Adinan J.

© 2026 AFYATech. Faragha yako ni kipaumbele chetu namba moja.

Scroll to Top