Be the first to review “Kipimo cha Lishe Ya Mtoto – MUAC” Cancel reply
“Miwani ya jua na miwani ya kuendeshea gari usiku” has been added to your cart. Checkout
“Stethoscope Litman Classic II” has been added to your cart. Checkout
Kipimo cha Lishe Ya Mtoto – MUAC
★★★★★ 5/5
Changamoto: Umekuwa ukijitahidi kumlisha mwanao chakula unachoamini ni KIZURI kwa afya yake. Lakini hujui hali yake ya lishe. Wakati mwengine umeambiwa na wataalamu wa Afya kwamba mtoto wako ana utapiamlo! Utapia mlo ni tatizo kubwa la kiafya kama halitarekebishwa mapema.
Kifaa: MUAC ni kipimo cha kutathmini hali ya lishe. Inabainisha utapiamlo mbaya na hutumika sana kwa watoto wenye umri wa miezi 6-59 (Miezi 6 mpaka miaka miaka 5 kasoro)
Faida: Kitakusaidia kutambua hali ya lishe ya mwanao kwa haraka na kuchukua hatua stahili. Kwa maelekezo mafupi, utaweza kukitumia kipimo hiki ukiwa nyumbani hata kama huna utaalamu wa masuala ya Afya.
Namna ya kutumia: Inapimwa kwa mkono wa kushoto moja kwa moja, katikati katikati ya ncha ya bega na ncha ya kiwiko. Inabainisha utapiamlo mbaya na hutumika sana kwa watoto wenye umri wa miezi 6-59 (Miezi 6 mpaka miaka miaka 5 kasoro) na vile vile wanawake wajawazito.
Tutakufahamisha zaidi namna ya kutafsiri kipimo hichi unaponunua.
TZs 10,000.0
Availability: In stock
SKU
HES-SP-D-MUAC
Categories MUAC, Nyumbani Kit, Students Items, Students Kit, Uzazi salama
Tags afya ya mtoto, Lishe, Mtoto
Related products
Kipimo cha Oxygen – Pulse Oximeter
TZs 60,000.0Original price was: TZs 60,000.0.TZs 53,900.0Current price is: TZs 53,900.0.
Reviews
There are no reviews yet.