fbpx

Mesh Nebulizer

5/5

Pata Nafuu haraka kutokana na magonjwa yanayokusababishia shida ya kupumua kwa mfano asthma/pumu uwapo na nebulizer. Nebulizer ni kifaa kidogo ambacho hupeleka dawa moja kwa moja kwenye mapafu kwa njia ya mvuke. Bila shaka kifaa hichi ni rafiki wa LAZIMA kwa wenye matatizo ya kupumua. Hivyo hukuepusha na madhara yatokanayo na kukosa hewa safi ikiwamo kifo.

Nebulizer inavyofanya kazi. Nebulizer hubadilisha dawa ya iliyo katika hali ya maji maji kuwa mvuke. Dawa huingia kwenye mapafu yako wakati unavuta pumzi polepole, kwa dakika 10 hadi 15.

Nafuu ya haraka na kwa wepesi ni faida muhimu 2 za nebulizer: Kama wewe ni mgonjwa wa pumu huwenda unatumia au unafahamu inhaler. Uzuri wa inhaler nayo ni kupeleka dawa moja kwa moja kwenye mapafu. Lakini utakubaliana na mimi kwamba unahitaji kutumia nguvu kuvuta hewa ndani unapotumia inhaler. Hii huwa changamoto kama umekamatwa na asthma/pumu kali sana au matatizo/magonjwa ya mapafu makali.  Wakati huu utahitaji nebulizer kwakuwa huitaji kutumia nguvu nyingi kupumua.

Nitajuaje kama nahitaji Nebulizer?: Wewe na daktari wako mnaweza kuamua ikiwa nebulizer ndiyo njia bora ya kupata dawa unayohitaji. Chaguo la kifaa linaweza kutegemea ikiwa unapata nebulizer rahisi kutumia na ni aina gani ya dawa unayotumia.

Urahisi wa kuibeba na kutembea na Mesh nebulizer ni moja ya Faida kubwa sana kwasababu unakuwa nacho wakati wote na popote! Ni kama unatembea na hospitali na watoa huduma wa afya! Tunaougua pumu tunafahamu kwamba inaweza kukukamata wakati wowote. Kwahiyo ni muhimu kuhakikisha unachukua tahadhari wakati wote na popote.

Sh 148,000.0

Availability: In stock

SKU HES-CC-D-Nebul-1 Categories , Tag

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mesh Nebulizer”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Muulize Dr. Adinan Kuhusu Nebulizer