fbpx

Fetoscope Stethoscope

5/5

Hakikisha hali ya afya ya mtoto na mama kwa kusikiliza mapigo ya mtoto aliyeko tumboni tena ukiwa umesimama kwa utulivu unapotumia Fetoscope Stethoscope

 

Faida ya kuwa na fetoscope hii iliyo kama stethoscope ni urahisi wa wewe kusikiliza mapgo ya moyo ya mtoto wakati unampima mjamzito. Kwa kuwa ni ndefu kama stethoscope itakuwezesha kuchunguza kwa umakini huku ukimuacha mteja wako akifurahia huduma yako.

 

Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Ubora wa kifaa hichi umehakikiwa si tu na watengenezaji bali na wataalamu wa Afya. Huna hofu ya kutapeliwa au uharibifu, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia. Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Bei nafuu.

 

Sh 60,000.0

Availability: In stock

SKU HES-SP-D-FetSteth Categories , ,

Fetoscope stethoscope inakusaidia kuhakikisha hali ya afya ya mtoto na mama kwa kusikiliza mapigo ya mtoto aliyeko tumboni tena ukiwa umesimama kwa utulivu unapotumia Fetoscope Stethoscope

 

Faida ya kuwa na Fetoscope stethoscope hii iliyo kama stethoscope ni urahisi wa wewe kusikiliza mapigo ya moyo ya mtoto wakati unampima mjamzito. Kwa kuwa ni ndefu kama stethoscope itakuwezesha kuchunguza kwa umakini huku ukimuacha mteja wako akifurahia huduma yako.

 

Faida Unayopata utakaponunua kwetu: Ubora wa kifaa hichi umehakikiwa si tu na watengenezaji bali na wataalamu wa Afya. Huna hofu ya kutapeliwa au uharibifu, tunakupatia warranty ya miaka 3. Kifaa kikisumbua tutakubadilishia.

 

Unanunua kwa wahudumu wa afya wenzako na wenye uzoefu wa kutosha kufundisha katika vyuo vya afya. Ushauri bure wakati wote na Huduma Bora hata baada ya kununua. Bei nafuu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Fetoscope Stethoscope”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Fetoscope Stethoscope leo. Nini ungependa kuuliza?