Huduma ya kudhibiti Presha kutoka AFYATech
Dhibiti Presha, Ishi kwa amani
Elimu sahihi, huduma shirikishi, na utayari : Njia zilizothibitishwa kudhibiti presha
Tunawahudumia wahitaji ambao
- Wanataka msaada wa moja kwa moja kudhibiti presha – Tutakufundisha kuanzia sababu, dalili, matibabu hadi namna ya kudhibiti na kuepuka madhara
- Unaamini presha haina tiba kwasasa ila unaweza kuidhibiti na kwamba ushirikiano kati yake na mtaalamu wa afya utafanikisha udhibiti wa presha
- Utayari wa kuchukua hatua stahiki kwa wakati: kudhibiti kisukari na kuepuka madhara yake tutakushauri hatua zote muhimu za kuchukua kutathmini ugonjwa wako na hatua za kuchukua
Jaza taarifa zako
PreshaPoa Plan ikoje?
Tumeandaa mchakato maalum utakaohakikisha kama unafanikiwa kudhibiti presha na kukurudishia amani
Dhibiti Presha Plan
Fahamu
Fahamu yote kuhusu presha ya damu
- Ushauri wa Wiki kwa simu au ujumbe wa WhatsApp
- Kuunganishwa kwenye Jukwaa la mtandaoni.
- Kusoma makala zote kuhusu presha na kisukari na magonjwa mengine kwenye tovuti ya AFYATech
- *Vipimo muhimu kufuatilia na kudhibiti presha na kisukari ukiwa nyumbani kwa bei ya punguzo
TSh. 9,900/=
Fanya
Maamuzi sahihi baada ya kutathmini tiba
- Huduma zote kwenye mpango wa Fahamu, na
- Uchambuzi wa vyakula unavyopendelea kula na ushauri
- Ratiba / Mpango wa chakula kulingana na vyakula unavyovipenda kwa wiki
- Ushauri mahususi wa namna ya kuepuka madhara ya presha ikiwemo kufanyiwa tathimini ya tiba
TSh. 49,900/=
Furahia
Maisha licha ya kuishi na presha
- Huduma zote kwenye mpango wa Fanya, na
- Kitabu kitakachokufundisha nini cha kula na namna ya kuchanganya vyakula bila kupandisha sukari
- Kuletewa vipimo ulivyoagiza ulipo
- Punguzo la bei ya vipimo vya presha na kisukari na kuletewa popote utakapokuwepo
TSh. 89,900/=
Tunajua ufanisi wa huduma hii. Tumeitoa tangu 2016.
Safari yangu ya kudhibiti presha ilikuwa ngumu sana hadi nilipojiunga na PreshaPlan. Mpango wako wa mlo umenifaa sana na ushauri wenu wa kila wiki ulinisaidia sana kudumisha presha yangu kwa viwango vya kawaida. Sasa ninajisikia mwenye amani na furaha. Asante PreshaPlan, Mungu awabariki. Sambazeni huduma kwa wengine!
PreshaPlan imenipa zana muhimu za kudhibiti presha yangu na kuboresha afya yangu kwa ujumla. Kupata kipimo cha presha nyumbani kimenipa uhakika zaidi na ushauri wenu umenifundisha jinsi ya kujali afya yangu kwa njia bora zaidi. Napenda kuwashauri wengine walio na changamoto kama yangu kujiunga na PreshaPlan.”