Bawasiri: Ugonjwa na Madhara
Bawasiri, inayojulikana pia kama hemorrhoids, ni tatizo la afya ambalo husababisha uvimbe na maumivu katika eneo la njia ya haja kubwa (ashakum…mkundu). Hali hii inaweza kusababisha usumbufu mkubwa na kuharibu ubora wa maisha ya mtu. Kwenye makala hii nitakufahamisha bawasiri inasababishwa na nini, aina, na matibabu ya bawasiri ili kuchukua hatua sahihi za kujikinga na