Ugonjwa wa Figo: Namna 2 Kisukari huaribu figo na unavyoweza kuepuka!
Ugonjwa wa kisukari husababisha ugonjwa wa figo kwa namna mbili na kusababisha figo kufeli. Unaweza usihisi dalili mpaka pale madhara yanapokuwa makubwa. Hatahivyo, unaweza kuepuka madhara yote haya. Tafadhali soma kufahamu zaidi…