Dalili za Kisukari Hatari Unazohitaji Kuzifahamu!
Ukiziona dalili hizi za kisukari chukua hatua stahiki haraka kwani uhai wako uko hatarini.
Ukiziona dalili hizi za kisukari chukua hatua stahiki haraka kwani uhai wako uko hatarini.
Je! Unajua kisukari kinaweza kuathiri afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake? Kujifunza zaidi juu ya athari hizi na jinsi ya kudhibiti kisukari kwa afya bora ya uzazi.
Soma zaidi kufahamu: #Kisukari kinaweza kuathiri #afya ya #azani ya mwanaume na mwanamke. Fahamu athari hizi na namna ya kuziepuka. https://afyatechtz.com/athari-kisukari-kwenye-afya-uzazi-mwanaume-mwanamke/
@wizara_afyatz @mohznz1 @AdinanJKA
Madhara ya Kisukari: Kinywa na Meno Ugonjwa wa Kisukari husababisha kiwango cha sukari kuwepo kwa wingi katika damu na hivyo katika mate yako. Bakteria walioko mdomoni hutumia sukari hii kama chakula. Kwa hiyo bakteria hukuwa na kustawi zaidi katika mazingira yenye sukari. Bakteria hawa husababisha meno kuoza na kutoboka. Na kama hujapata tiba haraka unaweza
Ugonjwa wa kisukari husababisha ugonjwa wa figo kwa namna mbili na kusababisha figo kufeli. Unaweza usihisi dalili mpaka pale madhara yanapokuwa makubwa. Hatahivyo, unaweza kuepuka madhara yote haya. Tafadhali soma kufahamu zaidi…
Ukubwa wa tatizo la Magonjwa ya Moyo Watu Milioni 18 hufariki kwa magonjwa ya moyo kila mwaka, hizi ni takwimu za shirika la Afya duniani (WHO). Ni moja ya magonjwa machache ambayo yanendelea kuwa na hatua mbaya kadiri siku zinavyokwenda. Kisukari kinakuweka kwenye hatari ya uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo kuliko. Kadiri muda