OKOA GHARAMA ZA MATIBABU

Kwa Kuwa na Kipimo cha Presha 

Siku
Saa
Dakika
Sekunde
Offer Hii Imekwisha. Wasiliana na Dr. Adinan Kupata offer yako Maalum

Afya yako ni Muhimu, Jali Uhai Wako!

 

Je, una miaka 30? Umewahi kufikiria kwa nini ni muhimu kuwa na kipimo cha presha nyumbani?

Kama hujaanza kufikiri kuhusu ugonjwa wa presha, basi ni wakati wa kufikiria tena! Kama unajiuliza, nitakwambia kwanini!

Presha ni ugonjwa unaoongoza kuchangia kusababisha vifo vinavyotokana na mshituko wa Moyo, kiharusi, na figo kufeli. 

Tafiti zinathibitisha kwamba hatari ya kupata presha inaongezeka kwa watu wenye umri wa kuanzia miaka 30. 

Kwahiyo, leo hii, ni muhimu sana kuwa na mashine ya BP nyumbani kutokana na sababu kadhaa.

1-Ugonjwa wa Shinikizo la Damu ni Hatari!

 

Ugonjwa wa shinikizo la damu ni moja ya sababu kubwa za vifo duniani.

Kwa bahati mbaya, watu wengi hawana dalili zozote za ugonjwa huu mpaka pale wanapopatwa na madhara makubwa kama kiharusi au mshtuko wa moyo.

Kwa hiyo, ni muhimu sana kupima shinikizo la damu mara kwa mara ili kugundua ugonjwa huu mapema na kupata matibabu.

3-Matibabu ya Mapema ni Bora Kuliko Matibabu ya Baadaye!

 

Kwa bahati mbaya, watu wengi hawapimi shinikizo la damu mara kwa mara na wanapogundulika na ugonjwa huu, huwa tayari na madhara ya ugonjwa huu.

Kuchelewa kunafanya matibabu kuwa magumu zaidi na gharama kubwa.

Hata hivyo, kwa kuwa na kipimo cha presha nyumbani, unaweza kupima shinikizo la damu mara kwa mara na kugundua ugonjwa huu mapema.

Hivyo, kwa kupima unaweza kupata matibabu ya mapema na kuepuka madhara makubwa na gharama kubwa.

4-Kudhibiti Shinikizo la Damu ni Rahisi!

 

Watu wengi hupata ugonjwa wa presha kutokana na mwenendo wa maisha mbaya kwa afya.

Kwa hiyo, kubadilisha mtindo wa maisha na kufuata mlo sahihi na mazoezi ya mara kwa mara, kunaweza kusaidia kudhibiti shinikizo la damu.

Kwa kuwa na kipimo cha presha nyumbani, unaweza kufuatilia maendeleo yako na kuhakikisha kuwa unadhibiti shinikizo la damu lako kwa usahihi.

5- Uhai wako ni Muimu!

 

Kumbuka kuwa uhai wako ni muhimu zaidi ya chochote. Uhai wako ni muhimu kwa familia yako, ndugu, jamaa na marafiki. 

Kwa hiyo, kuwa na mashine ya BP nyumbani ni hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa unaendelea kufuatilia na kuijali afya yako.

Kumbuka kwamba kuzuia ni bora kuliko kutibu, na kupima shinikizo la damu mara kwa mara ni NJIA BORA ya kufahamu, kudhibiti na kuepuka madhara yake.

Siku
Saa
Dakika
Sekunde
Offer Hii Imekwisha. Wasiliana na Dr. Adinan Kupata offer yako Maalum

Kuwa na Amani

Sasa unafahamu presha yako na una UHAKIKA wa UFANISI wa MATIBABU

Epuka Madhara

Sasa unachukua hatua stahiki kudhibiti presha yako kulingana na majibu ya kipimo

Okoa Fedha & Muda

Madhara ya presha yatapunguza kasi yako ya shughuli zako na kuyatibu ni gharama.

Wasemavyo Mteja wetu

“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”
Mr. John Lusingu, Njombe
“Niliponunua kipimo cha presha nilijua kazi yake ni kunisaidia kupima presha tu, ila kifaa hiki sasa kinanisaidia kuboresha matibabu yangu”
Ms. Asia Haruna, Mwanza
“Asante sana Dr. Adinan, mama yangu sasa amepata motisha ya kunywa dawa za presha baada ya kujipima na kuona presha inavyoshuka akitumia dawa"
Mr. John Mbaga, Dar

Kwanini Tunaaminiwa?

Uzoefu

Tangu 2016 tunaendelea kutoa huduma bora na adilifu

Ushauri

Wa Kitaalamu Kuhusu Vifaa Unavyohitaji.

Lipa baada

Kupokea na KURIDHIKA na vifaa ulivyoagiza

Warranty

Zaidi ya mwaka. Tutakusaidia hata baaada ya warranty kuisha

Usisubiri, Anza Leo!

Anza sasa kufuatilia afya yako.  Fahamu. Dhibiti. Furahia maisha

Siku
Saa
Dakika
Sekunde
Offer Hii Imekwisha. Wasiliana na Dr. Adinan Kupata offer yako Maalum

© 2023 All Rights Reserved.

Shopping Cart