Kuwa na

uzito mzuri

Tumia mizani ya kisasa

Nafahamu unajua. Unajua kwamba uzito wa mwili unaweza kudhibitika. Na pia unafahamu kwamba ni muhimu kudhibiti uzito wako. Lengo ni kuwa na uwiano mzuri wa uzito na kimo (BMI). Unene na unene wa kupitiliza husababisha madhara kwa afya yako.

AFYATech tuko kukusupport kwasababu kama wewe tunaamini afya yako ni mtaji wako. Pia, tunaamini kwamba unaweza kuwa na uwiano wa uzito na urefu mzuri kwa afya yako. Huu ni mchango wetu kwako. Tunakuletea leo kipimo ambacho ukiwa nacho unaweza kufanikisha lengo lako.

Unafahamu watu wengi wanaopunguza uzito, huwenda nawe uko katika kundi hili. Wengi hatufanikiwi. Unajua kwanini? Sababu mojawapo kubwa ni kwamba hatujui. Hatujui. Hatujui. Hatujui nini? Hatujui tupunguze nini, yani tupunguze uzito kwa kiasi gani. Mbili, tunakosa motisha. Tunaaanza na kuacha mikakati ya kupunguza uzito. Kwanini?

Tunakosa motisha? Kwanini? Hatujui. Hatujui kwa kila mbinu tuliyoitumia kama inafanya kazi kama tulivyotegemea. Kwamba hatujui kama imeweza kupunguza uzito. Kwanini, sababu ni moja hatupimi. Lakini tungependa kupima. Kama unapima, hongera sana. Je, unapima na kipimo chako au?

Na je, unapopima kwa kutumia kipimo ambacho si chako, unakifahamu kifaa hicho kipimo hicho kinavyofanya kazi? Nikupe mfano, unafikiri ukisimama sasa hivi kwenye mizani inayopima uzito wa kontena la meli, mizani itatoa majibu yako una kilo ngapi? Kumbuka Unaweza usifahamu kwakuwa mizani ile inapima kwa tani wakati wewe uzito wako ni kilo. Kwahiyo kama una kilo 90 ambayo ni sawa na tani 0.09, maana yake ni kwamba usahihi wa majibu una mashaka. Cha pili cha muhimu ni kwamba, je unahakiki usahihi wa kipimo? Kipimo chochote huweza kupungua usahihi kadri muda unavyozidi kwenda na kinavyotumika.

Je, una uhakika na majibu haya! Sasa unaweza kuhakiki usahihi wa kipimo mwenyewe ukiwa nyumbani. Kipimo hiki kinakupa motisha kwasabau kinarekodi mabadiliko ya uzito hata kama ni madogo vipi. Ufahamu BMI yako ndani ya sekunde 20! mizani hii inatumia application. Kwahiyo kwa kutumia simu yako ya kiganjani unafahamu BMI yako haraka bila kupiga mahesabu tofauti na ukitumia mizani zingine.

Fuatilia uzito kwa muda mrefu: Kwasababu inatumia application sasa unaweza kufuatilia uzito wako kwa muda mrefu na kugundua wakati gani uzito wako unapungua kufikia lengo lako. Haya yote unayafuatilia kupitia kwenye simu yako ya mkononi.

Linda fedha zako: Ni madhubuti kuweza kutumiwa na watu wenye kilo zaidi. Hivyo kukuokolea pesa kwa kutokununua mizani mara kwa mara. Mizani hii inayotumia umeme na kukaa na chaji muda mrefu hukuwezesha Kuahamu uwiano wako wa uzito na urefu wakati wowote unapohitaji huku Ukiokoa fedha zako kwa mizani ya kisasa!

Mashine hizi za HES ni mizani bora muhimu kuwa nazo nyumbani kama una lengo la kuwa na BMI nzuri. Unaponunua vifaa mizani hii yenye warranty ya mwaka mmoja na nusu, timu yetu inakuelekeza namna ya kutumia pamoja na utunzaji.

Pia timu yetu hukupa ushauri na elimu ya afya kujikinga, kudhibiti na kuepuka madhara ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Muda ni sasa. Usingoje sana ukachelewa.

Agiza sasa mizani yako uanze safari ya kulinda afya yako kwa na BMI nzuri kwa afya yako. Fahamu. Dhibiti. Furahia maisha

Madhara ya figo kufeli hujumuisha ya kiuchumi na kijamii. Gharama ni kubwa za matibatu ukiacha ukweli kwamba hazijasambaa.

Kisukari na shinikizo la damu la juu – presha ni sababu mbili kuu za figo kushindwa kufanya kazi (figo kufeli). Changamoto kubwa ya magonjwa haya matatu, presha, kisukari na ugonjwa wa figo ni kutokuwa na dalili. Tiba inategemea sana kufahamu hali yako mapema na kuchukua hatua stahiki mapema.

Ndiyo maana leo tunakuwezesha kufuatilia hali yako tena ukiwa nyumbani. Kupata offer hii bonyeza kitufe kilichopo mbele ya kipimo kinachosomeka IPATE LEO kisha utaendelea kujaza fomu itakayotuwezesha kukutumia kipimo chako.

Faida kuu 4 za kuwa na vifaa hivi nimeziandika hapo chini

TATHMINI PRESHA

Namna pekee ya kufahamu kiwango cha presha yako ni kupima. Amua kuhusu tiba yako

EPUKA mADHARA

Sasa unafahamu presha yako utachukua hatua stahiki kudhibiti ili kuepuka madhara ya presha.

OKOA FEDHA

Madhara ya presha yatapunguza kasi yako ya shughuli zako na kuyatibu ni gharama.

FURAHIA MAISHA

Unafahamu presha yako kwa uhakika. Umechukua hatua umedhibiti. Unakuwa na amani

Asemavyo Mteja wetu

“Kwasasa sina presha wala kisukari, lakini, najiona huru kuwa na vifaa hivi. Sina wasiwasi tena. Kabla nilikuwa nawasiwasi labada presha imepanda”
Mr. John Lusingu, Njombe

Usisubiri, Anza Leo!

Anza sasa kufuatilia afya yako.  Fahamu. Dhibiti. Furahia maisha