fbpx

Kuwa na

uzito mzuri

Tumia mizani ya kisasa

Unene na unene wa kupitiliza husababisha madhara kwa afya yako.

Nafahamu unajua. Unajua kwamba ni muhimu kudhibiti uzito wako ili kuwa na uwiano mzuri wa uzito na kimo (BMI).

AFYATech tuko kukusupport kwasababu kama wewe tunaamini afya yako ni mtaji wako.

Pia, tunaamini kwamba unaweza kuwa na uwiano wa uzito na urefu mzuri kwa afya yako. Huu ni mchango wetu kwako.

Tunakuletea leo kipimo cha kisasa ambacho kimeendelea kutatua changamoto za kupunguza uzito kwa watu wengi. Ukiwa na mizani hii unaweza kufanikisha kuwa na uzito unaotaka.  

Badala ya TShs. 89,000 IPATE kwa Tshs. 49,900/= na tutakuletea mpaka mkoani kwako. 

Kwanini Tunaaminiwa?

Uadilifu. Utaalamu. Ubora Fahamu vigezo vingine

Pesa zako

Utalipia baada ya kupokea na kuridhika na bidhaa

Warranty

Ya kifaa kwa muda wa mwaka mmoja na nusu

Maelekezo

Ya namna ya kutumia kutoka kwa wataalamu wetu

Usisubiri, Ipate Leo!

Anza sasa kufuatilia afya yako.  Fahamu. Dhibiti. Furahia maisha

Siku
Saa
Dakika
Sekunde
Offer Hii Imekwisha. Wasiliana na Dr. Adinan Kupata offer yako Maalum