Kipimo cha Oxygen kwenye damu - pulse oximeter
Infrared thermometer

Kileleni na Kurudi Ukiwa Salama

Tumia vifaatiba muhimu vilivyothibitika kuokoa maisha pale dharura ya kiafya inapojitokeza

Mlima Basic

TSh. 290,000
  • Oxygen Cylinder
  • Oxygen Masks 3
  • Anti-glare Glasses 1

Mlima Set

TSh. 690,000
  • Oxygen Cylinder
  • Oxygen Masks 5
  • Anti-glare Glasses 5
  • Pulse Oximeter 1
  • BP Machine 01
  • Glucometer 01

Mlima Kit

TSh. 890,000
  • Oxygen Cylinder
  • Oxygen Masks 5
  • Anti-glare Glasses 5
  • Pulse Oximeter 01
  • BP Machine 01
  • Glucometer 01
  • Infrared Thermometer
  • Stethoscopes 01

Kwanini Utuamini?

Uadilifu

Tunatenda tulichokubaliana

Uharaka

Tuko kukuhudumia popote ndani ya saa 24

Thamani

Ubora na warranty ya Uhakika

Amani

Pesa na mali yako iko salama

Tumeaminiwa na

Kampuni hizi ni miongoni mwanyingi tunazoshirikiana

Ungependa Kuuliza?

Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza

Kuweka oda kwenye website yetu kuna rahisisha huduma ikiwa tatizo lolote litatokea kwenye kifaa. 

Mfano tutafahamu kwa haraka uko wapi na bidhaa uliyochukua na nani alikuhudumia. Hivyo itapunguza muda wa kutatua changamoto. 

Pia tumeweka warranty yako kwa Email kwasababu ni ngumu kupotea kuliko risiti ambayo ukiacha kupotea, huweza kufutika pia/

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

AFYATech tunakupa bidhaa uliyoiona na kuichagua kwenye website yetu. Ikiwa hutopendezwa na bidhaa yetu wakati umepokea tunakurudishia pesa yako

Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress

Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi. 

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.

Usalama Kwanza!

Jali usalama wa wageni na wafanyakazi wako. Anza sasa kushirikiana na AFYATech kuboresha usalama kazini.