kipimo cha sukari
Fahamu sukari yako kwa uhakika. Chukua hatua stahiki kwa wakati. Epuka madhara kama vile figo kufeli
kipimo cha presha
Fahamu presha yako kwa uhakika. Chukua hatua stahiki kwa wakati. Epuka madhara kama vile kiharusi
kipimo cha HISIA
Fahamu utimamu wa mishipa ya fahamu kwa uhakika na kwa wakati. Epuka vidonda
Kwanini UweNavyo Nyumbani?
tegemea yafuatayo unapotumia vifaa hivi
Kuwa na Amani - Ondokana na Hofu
Utajua kwa Uhakika kiwango cha sukari na Presha. Hutokuwa mtu wa kuhisi kila unapojisikia vibaya
Epuka Madhara Ya Presha & kisukari
Tafiti zinaonesha kwamba ukitambua hali yako mapema hatari ya kupata madhara hupungua kwasababu utachukua hatua mapema
Tathmini Tiba Yako
Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti sukari...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima sukari na presha
Tathmini Tiba Yako
Kama unatumia dawa au njia zingine za kudhibiti sukari...namna pekee ya kufahamu kama unaendele vizuri ni kupima sukari na presha
Okoa Muda wako
Tumia muda wako kwa shughuli zingine badala ya kuutumia kwenye foleni au kusafiri kwenda hospitali
okoa fedha zako
Tumia pesa zako kugharamia vitu vingine badala ya kutibu madhara ya magonjwa haya ambayo sasa unayadhibiti kwa kufahamu hali yako
Kipimo cha Presha
Kuna Njia moja tu ya kuweza kutambua kama unashinikizo la juu la damu (presha) kujipima tu!
- Epuka madhara yatokanayo na presha kwa kugundua mapema zaidi –
- Fahamu maendeleo yako katika kudhibiti presha yako
- Epuka msongamano hospitali – jipime ukiwa nyumbani
- Unaweza kujipima presha ukiwa popote sasa. Kinabebeka na chaji inadumu


Kipimo Cha sukari
- Ishi kwa raha licha ya kuwa na kisukari huku ukiwa na kipimo kinachoongoza kwa usahihi wa matokeo
- Utaweza kufahamu maendeleo yako katika kudhibiti sukari
- Epukana na vidonda kwenye vidole – mashine hii hutumia pini ndogo sana
Kipimo cha Uzito
Bila kujali umri jenga afya yako bora kwa kuwa na uzito mzuri kiafya. Anza leo kujenga uzito wako.

Urafiki na mwanao Akiwa tumboni
Sikia sauti nzuri ya mapigo ya moyo ya mwanao angali akiwa tumboni. Raha iliyoje!


Kipimo Cha sukari
- Ishi kwa raha licha ya kuwa na kisukari huku ukiwa na kipimo kinachoongoza kwa usahihi wa matokeo
- Utaweza kufahamu maendeleo yako katika kudhibiti sukari
- Epukana na vidonda kwenye vidole – mashine hii hutumia pini ndogo sana
Kipimo cha Mishipa ya Fahamu
Epuka vidonda miguuni kwa kufahamu utimamu wa mishipa ya fahamu kwa uhakika na kwa wakati.

Kwanini tunaaminiwa?

Tunaaminika
Tangu 2016 tunasaidia watu kufikia malengo yao ya kiafya

Ushauri
Wa Kitaalamu Kuhusu Vifaa Unavyohitaji.

Lipa baada
ya kupokea na KURIDHIKA na vifaa ulivyoagiza

Warranty
Zaidi ya mwaka. Tutakusaidia hata baaada ya warranty kuisha
Maisha yakoje bila afyakit
madhara ya kutokufahamu presha na sukari yako
uko hatarini
Kama hupimi, hufahamu kiwango chako cha presha au sukari, unajiweka kwenye hatari ya kupoteza furaha yako na ubora wa maisha yako.
hutofurahia maisha
Madhara yote, mfano kiharusi, figo kufeli, kupata vidonda na kupungua nguvu za kiume, huaribu furaha ya maisha. .
gharama
Madhara ya presha na kisukari hugharimu pesa nyingi za matibabu na unashindwa kufanya shughuli zako za kungeza kipato
seti ya kisukari & presha - bpdm kit
Jiondoe kwenye hatari
Unaweza kubadili hatari zote na kuanza kuishi maisha ya furaha ukiwa na ugonjwa wa kisukari au presha kwa kuwa tu unafahamu hali yako ya kiafya kwa UHAKIKA.
Muda ni, kama si leo, ni sasa! Vipate vifaa hivi tunavyovitoa kwa bei ya offer ya muda mfupi.