Dhibiti kisukari,
Huku ukifurahia vyakula uvipendavyo
Usiweke ODA kama hutolipia ndani ya saa 24: Tungependa kusaidia wahitaji wa haraka.
TSh. 49,000/=
Usiweke ODA kama hutolipia ndani ya saa 24: Tungependa kusaidia wahitaji wa haraka.
TSh. 49,000/=
Je, umewahi kujikuta ukilazimika kuacha vyakula unavyovipenda kwa hofu ya kuongeza sukari yako?
Tunafahamu jinsi ugonjwa wa kisukari unavyoweza kubadilisha mtindo wako wa maisha na hata kufanya iwe ngumu kufurahia mlo wako.
Lakini habari njema ni kwamba, sasa unaweza kudhibiti kisukari huku ukifurahia mlo wako!
Moja ya sifa adhimu ya kitabu hiki ni kwamba tumekiandika na wagonjwa wa kisukari. Hatukuanza kukiuza mpaka pale tulipohakikisha kinajibu maswali ya uhalisia ya wagonjwa wa kisukari. Na baada ya wagonjwa kuanza kukitumia, hivi ndivyo wanavyosema…
Ni jambo la kawaida kwa wagonjwa wa kisukari kuhisi kama wanapaswa kujizuia kula vyakula vyenye ladha nzuri na kufurahia chakula.
Kujaribu kudhibiti viwango vya sukari kwa kuepuka vyakula vilivyopendwa kunaweza kusababisha kuhisi kama unakosa mambo mengi katika maisha yako ya kila siku.
Fikiria mtu anakwambia mgonjwa wa kisukari hatakiwi kula vyakula vya wanga. Mmoja wa wasomaji wa kitabu hiki aliniambia, daktari, sikuwa nakula hata karanga!
Nilipomwambia wanga si ishu. Ishu ni kasi ya wanga kutoka kwenye chakula kuingia kwenye damu na kiwango cha wanga kilichopo kwenye chakula, akashangaa.
Alipoanza kutekeleza namna kitabu kinashauri, aliweza kudhibiti kisukari huku akila vyakula ambavyo hakufikiria kama angevila tena!
Lakini sasa, hakuna haja ya kuendelea kuteseka. Kitabu chetu, “Dhibiti Kisukari, Furahia Vyakula Vyako Pendwa,” kinakupa mwongozo unakuwezesha kudhibiti kisukari bila kuathiri furaha yako ya kula.
Kutoka kukufahamisha uhusiano wa vyakula na kisukari hadi ushauri wa kiasi na mwishowe mpango mkakati wa vyakula, tunakupa njia ya kufurahia vyakula vyako pendwa bila kuongeza viwango vya sukari yako.
Ingawa baadhi ya wasomaji walikuwa na shaka kuhusu EBook, tuligundua mabadiliko makubwa baada ya kuwapa sura moja ya kitabu hiki katika mfumo wa soft copy.
Walivutiwa sana na kuamua kuagiza nakala zao. Je, ni nini kiliwabadilisha? Sababu hizi hapa:
1. Kupata matoleo mapya bure!
Utakapolipia leo, una uhakika wa kupata matoleo mapya ya kitabu hiki bure!
2. Simu ikiharibika au kupotea: Utaweza kupakua kitabu hiki tena endapo simu yako itapotea au kuharibika.
3. Upatikanaji wa Haraka na Rahisi:
Ukiwa na simu yako au kompyuta, unaweza kusoma kitabu chako popote pale na wakati wowote. Huna haja ya kusubiri usafirishaji – ndani ya dakika mbili baada ya malipo, unapata kitabu chako.
4. Urahisi wa Kusoma:
Unaweza kurekebisha ukubwa wa herufi na mwanga ili kusoma kwa urahisi na kufurahia zaidi. Hakuna usumbufu wa kurasa zilizopindika au mwanga hafifu.
5. Kuelimika kwa Wakati:
Kitabu hiki kimejaa taarifa muhimu za afya. Ukiwa na soft copy, unaweza kubonyeza viungo (links) na kuelekezwa kwenye tovuti yetu kwa taarifa za ziada, na hivyo kujifunza kwa kina na kwa haraka.
Jipatie Nakala Yako Leo:
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kupata elimu ya afya kwa urahisi na haraka. Lipia sasa na upokee kitabu chako papo hapo!
Weka oda yako sasa ili! Usisubiri bei kurudi TSh. 49,000/=
Hakikisha unalipia ndani ya saa 24 unapoona offer hii kwani tunapenda kuwapa nafasi wengine wanaokihitaji kwa bei ya offer
Anza safari ya kudhibiti kisukari Sasa!
34004
Hongera kwa kujali afya yako. Mpaka umefika hapa maana yake umedhamiria.
Kukipata kitabu tafadali
Nia yetu ni wewe kuanza kudhbiti kisukari mapema. Hivo, hutajawahi kuzidisha dakika tano baaada ya mtu kulipia.
1-Tumekuwekea kitabu hiki kwenye mfumo wa EBook ili iwe rahisi kukuunganisha na website kwa maelezo zaidi kama vile kuangalia video na kukupatia nakala zijazo bure.
2- Usiweke ODA kama hutolipia ndani ya saa 24: Tungependa kusaidia wahitaji wa haraka.