Kula bila hofu
Dhibiti Kisukari
Fahamu aina, kiasi na namna ya kuchanganya vyakula
pata offer yako leo
- 00Hrs
- 00Mins
- 00Secs
Fahamu aina, kiasi na namna ya kuchanganya vyakula
Huwenda ushajaribu vyakula vingi lakini bado unashindwa kudhibiti kisukari, na wakati mwengine sukari inakuwa juu ingawa wewe unaona umejitahidi mpaka mwisho
Kwanini wagonjwa wengi wanashindwa kudhibiti kisukari? Si wewe tuu wako wengi ndiyo maana kuna wengi wanakatwa miguu kwa sababu ya madhara ya kisukari.
Bila shaka unafahamu madhara ya kisukari yanatokea kwa walioshindwa kudhbiti kisukari.
Kabla ya kuanza kuongelea vyakula vinavyodhibiti sukari – ambavyo havipo, – ha!, utafahamu hivi punde kwanini– nikuambie kwamba kwanini unashindwa kudhibiiti kisukari licha ya njia nyingi ulizotumia mpaka sasa.
Kisha nitakupatia nitakupa suluhisho na kukupatia muongozo unaosaidia wengi kudhibiti kisukari.
Binadamu ni shahidi wa nafsi yake. Mimi ni mtafiti na ni daktari. Nimebobea kwenye kutafiti magonjwa yasiyoyakuambukiza.
Nitakayokwambia si uganga, ni baada ya kukaa na kutafiti wagonjwa wa kisukari.
Ndiyo maana nasema bila wasiwasi kwamba najua kwanini umeshindwa kudhibiti kisukari, nasema ni wengi wanaoshindwa, na nakwambia ukimaliza kusoma makala hii ukipenda, utafahamu hatua stahiki za kuchukua kudhibiti kisukari.
Ngoja nikupe sababu 3 ambazo mimi huzipa kipaumbele.
Mtu akitishia kukumwagia kilichomo kwenye thermos hata kama hujui kilichomo utafanya ufanyalo kukwepa.
Je, unafanya hivi kwenye kisukari na kuepuka madhara yake? Pia, kisukari ni ngumu kudhibitika.
Nakupa mfano wa haraka bendera ya Tanzania ina rangi nyekundu, blue, njano na nyeusi. Ushasema hapana.
Hata kama ni Rais akikwambia bendera ya Tanzania ina rangi hizo, nakuhakikishia utakataa. Kwanini?
Ulifundishwa na ukaiona hiyo bendera.
Lakini mimi siko kwenye rangi, niko kwenye mafundisho.
Unajua kwanini rangi ya bendera licha kila mtu anafahamu ungeiona ukubwani kwani iko kila sehemu, lakini bado ulifundishwa shuleni? Hahhaha. Unashtuka, ulifundishwa na mwalimu. Sehemu maalum. Ukaamini.
Licha ya kuwa mgonjwa kwa muda, licha ya kufahamu madhara ya kisukari, mpaka sasa mtu yeyote akikushauri kuhusu kisukari unafuata. Kwasababu hujui!, huna ujasiri hata wa kuhoji. Nafsi inakwambia, je ikiwa ni dawa!?
Aliyesoma kitabu chetu wanafahamu hili na wamefanyia kazi kuweza kudhibiti sukari zao. Nawe najua utaweza kama utataka kupata muongozo huu muhimu leo.
Nikuambie kitu kimoja muhimu.
Wewe ndiye unayedhibiti kisukari. Si, mazoezi, si chakula, si dawa.
Nakushauri pia, kitabu hiki kitakufundisha namna ya kudhbiti kisukari kwa vyakula. Lakini wewe ndiye utakayefanya kitabu hiki kiwe na manufaa kwako.
Ukishafahamu kutoka kwa mtaalamu, tafadhali fanya maamuzi sahihi kwa kufuata yaliyo humu.
Nikikwambia unaweza kula vyakula vya wanga utashtuka.
Si, wewe hata wanaoshiriki kwenye huduma yetu ya AFYAPlan walipojiunga mara ya kwanza walishtuka kama wewe.
Huwenda pia unaogopa au hujawahi kula matunda matamu tangu umefahamu una kisukari.
Licha ya kuacha kula matunda matamu na wakati mwengine ukisumbuka kuacha wanga bado sukari yako iko juu.
Hapa namaanisha unaweza kula hata matunda matamu. Lakini kuna vya kufahamu kabla hujayala.
Utakubaliana na mimi kwamba chungwa ni tofauti na embe na ni tofauti na tikiti. Yote ni matamu, lakini si yote yatakufaa. Nini kinachoamua?
Kasi ya chakula kupandisha kiwango cha sukari kwenye damu na wingi wa sukari kwenye chakula hicho – Glycemic Index na Glycemic Load kwa kimombo.
Unaweza pia kushtuka nikikwambia unaweza kula matunda matamu. Hichi ni kitu cha kwanza, kitu cha pili huwenda unasumbuka nacho, ni virutubisho.
Unajua wanga lakini hujui namna ya kupanga vyakula unavyokula kila siku.
Huwa inawashangaza wasomaji wa kitabu hichi kwamba kuna wanga mzuri.
Wanga unaopunguza wanga mwingine kuingia kwenye damu.
Yani kusema vyakula vya wanga ni tofauti na ukisema unga wa mahindi yaliyokobolewa na unga dona.
Vyote ni wanga. Lakini inaweza kukuchanganya kujua nini ule nini usile.
Unaposhauriwa ule nafaka ambazo hazijakobolewa lengo ni kupata wanga (nyuzinyuzi) ambazo huzuia kasi ya sukari kutoka kwenye unga kuingia kwenye damu.
Kitabu hiki kimezingatia uhalisia wa maisha. Hivyo tumekuandikia vyakula halisi, si virutubisho.
Kwahiyo, kumbe si tu kuelewa vyakula bali unatakiwa ujue kiwango cha kula na namna ya kuchanganya vyakula ili kupunguza sukari.
Mfano, unajua matunda machachu husaidia kudhibiti kasi ya chakula kupandisha kiwango cha sukari kwenye damu?
Je, unafahamu chakula aina gani tena husaidia kupunguza kasi ya sukari kuingia kwenye damu? Pata nakala yako leo kwa bei ya offer.
Lakini pia ukifahamu kwamba uandaaji wa vyakula huathiri namna chakula kinapandisha sukari itakusaidia kuhakikisha kwamba chakula chako hakiivi sana na utapendela kula tunda zima badala ya juisi (sharubati).
Mpaka sasa umeona kwamba sijakutajia njia hata moja ya kudhibiti kisukari.
Nilichofanya ni kukupa dondoo ikuelekeze. Wewe ndiye muamuzi wa kila kitu.
Sasa nafahamu uko tayari kufanya maamuzi mengine yatakayobadilisha safari yako ya kudhibiti kisukari.
Utahitaji nakala yako ya muongozo wa kisukari. Naamini utaweka oda yako leo kwasababu kuu tatu:
Lakini kabla ya kuweka oda yako, nikwambie sehemu ingine ya utendaji wagonjwa wa kisukari wanakwama na ndiyo maana hupata madhara.
Ugonjwa wa kisukari hauumi kwa bahati mbaya.
Madhara ya kisukari yanatokea taratibu wakati wote ambapo sukari huwa juu.
Mgonjwa akitahamaki tayari ana kidonda, au haoni vizuri, au…
Kukusaidia kuepuka madhara ya kisukari, kwenye kitabu hiki tumekuandikia sura spesho inayokufundisha vipimo muhimu mgonjwa wa kisukari anatakiwa kufanya.
Ingawa baadhi ya wasomaji walikuwa na shaka kuhusu EBook, tuligundua mabadiliko makubwa baada ya kuwapa sura moja ya kitabu hiki katika mfumo wa soft copy. Walivutiwa sana na kuamua kuagiza nakala zao. Je, ni nini kiliwabadilisha?
Sababu hizi hapa:
Upatikanaji wa Haraka na Rahisi: Ukiwa na simu yako au kompyuta, unaweza kusoma kitabu chako popote pale na wakati wowote. Huna haja ya kusubiri usafirishaji – ndani ya dakika mbili baada ya malipo, unapata kitabu chako.
Urahisi wa Kusoma: Unaweza kurekebisha ukubwa wa herufi na mwanga ili kusoma kwa urahisi na kufurahia zaidi. Hakuna usumbufu wa kurasa zilizopindika au mwanga hafifu.
Kuelimika kwa Wakati: Kitabu hiki kimejaa taarifa muhimu za afya. Ukiwa na soft copy, unaweza kubonyeza viungo (links) na kuelekezwa kwenye tovuti yetu kwa taarifa za ziada, na hivyo kujifunza kwa kina na kwa haraka.
Jipatie Nakala Yako Leo: Usikose nafasi hii ya kipekee ya kupata elimu ya afya kwa urahisi na haraka. Lipia sasa na upokee kitabu chako papo hapo!
1-Tumekuwekea kitabu hiki kwenye mfumo rahisi kubebeka ili uwe nacho popote utakapokwenda.
2- Usiweke ODA kama hutolipia ndani ya saa 24: Tungependa kusaidia wahitaji wa haraka.
3- Ingawa vitabu halisi vipo - Kitabu hiki kiko kwenye mfumo wa soft copy au PDF (EBook). Ukiwa na simu yako tu unakuwa nacho.
Offer Inaisha Wiki Hii!
Wahi kabla bei kurudi TSh. 49,000!