Kipimo cha Lishe Ya Mtoto – MUAC
TZs 10,000
Changamoto: Umekuwa ukijitahidi kumlisha mwanao chakula unachoamini ni KIZURI kwa afya yake. Lakini hujui hali yake ya lishe. Wakati mwengine umeambiwa na wataalamu wa Afya kwamba mtoto wako ana utapiamlo! Utapia mlo ni tatizo kubwa la kiafya kama halitarekebishwa mapema.
Kifaa: MUAC ni kipimo cha kutathmini hali ya lishe. Inabainisha utapiamlo mbaya na hutumika sana kwa watoto wenye umri wa miezi 6-59 (Miezi 6 mpaka miaka miaka 5 kasoro)
Faida: Kitakusaidia kutambua hali ya lishe ya mwanao kwa haraka na kuchukua hatua stahili. Kwa maelekezo mafupi, utaweza kukitumia kipimo hiki ukiwa nyumbani hata kama huna utaalamu wa masuala ya Afya.
Namna ya kutumia: Inapimwa kwa mkono wa kushoto moja kwa moja, katikati katikati ya ncha ya bega na ncha ya kiwiko. Inabainisha utapiamlo mbaya na hutumika sana kwa watoto wenye umri wa miezi 6-59 (Miezi 6 mpaka miaka miaka 5 kasoro) na vile vile wanawake wajawazito.
Tutakufahamisha zaidi namna ya kutafsiri kipimo hichi unaponunua.
Availability: In stock
Related products
-
Nyumbani Kit
Vifaatiba muhimu kuwa navyo nyumbani – Premium SET
TZs 788,800Original price was: TZs 788,800.TZs 628,600Current price is: TZs 628,600. Ipate Leo





Reviews
There are no reviews yet.