Be the first to review “Kalenda ya mimba-Pregnancy wheel” Cancel reply
Kalenda ya mimba-Pregnancy wheel
★★★★★ 5/5
Kifaa: Kalenda ya mimba (Pregnancy calendar) ni kipimo kifaa kitakachokuwezesha kukadiria siku zako muhimu katika ujauzito.
Faida: Kalenda ya mimba itakuwezesha kukadiria umri wa mimba na siku ya kujifungua. Hivi ni vitu muhimu kujua kwani vitakuwwezesha kupanga kuhusu huduma za kiafya kadri inavyohitajika kwa afya ya mwanao na yako. Kujipanga mapema kutakusaidia kuepuka madhara yanayojitokeza kama utakurupushwa na uchungu
Changamoto: Baadhi ya wajawazito hawafahamu umri wa mimba zao na hata makadirio ya tarehe ya kujifungua. Usikurupushwe na uchungu wakati hukujiandaa.
Jiandae kwa kila kitu kuhusu mimba yako. Kuilinda afya ya mwanao na yako inabidi ujipange kuanzia mwanzo. Fahamu hatua, ukuaji na tarehe ya makadirio ya kujifungua ili ujipange.
Kama hufahamu namna ya kukadiria tarehe yako ya ujauzito na ile ya kujifungua sasa tumekuletea kifaa kitakachokuwezesha kufanya hivi kwa haraka, mwenyewe na ukiwa nyumbani.
Namna ya kutumia: Tutakufahamisha zaidi namna ya kutafsiri kipimo hichi unaponunua. Utatumia kifaa hichi kukadiria tarehe zako muhimu za uja uzito.
Utakadiria lini uko kwenye danger zone – kitakuwezesha kufahamu siku zako za hatari na hivyo kujikinga na mimba zisizotarajiwa.
Sh 15,000.0
Availability: In stock
SKU
HES-SP-D-Preg
Categories Nyumbani Kit, Students Items, Students Kit, Uzazi salama
Tag Afya Nyumbani
Related products
Kipimo Cha Uzito
Sh 79,000.0Original price was: Sh 79,000.0.Sh 54,900.0Current price is: Sh 54,900.0.Kipimo cha sukari – Glucometer
Sh 45,000.0Original price was: Sh 45,000.0.Sh 40,000.0Current price is: Sh 40,000.0.
Reviews
There are no reviews yet.