Pulse Oximeter-302
TZs 75,000
- Epuka madhara yatokanayo na kupungua kwa oxygen mwilini!
- Fahamu maendeleo yako katika kudhibiti tiba unayotumia
- Epuka msongamano hospitali – jipime ukiwa nyumbani
- Unaweza kujipima kiwango cha oxygen ukiwa popote sasa! Kifaa hiki ni kidogo, kinabebeka na chaji inadumu
Changamoto tunayokusaidia kuitatua ni kutokuelewa mustakbali wa afya yako pamoja na kuweza kufanyia tathimini tiba unayoendelea nayo. Kama unatumia dawa au unatumia oxygen ni muhimu kufahamu kama tiba au oxygen unayotumia inaongeza kiwango cha oxygen kwenye damu-lengo limefikiwa au la.
Kwa kuwa unaumwa ugonjwa mmoja, kila dalili inayojitokeza unaweza kusema inatokana na huo ugonjwa unaoumwa sasa. Ni muhimu kuweza kutofautisha dalili na kufahamu kama kweli ni dalili ya kupungua kwa oxygen au kuna kitu kingine. Kifaa hichi kitaweza kukubainishia haya kwa kuwa sasa utaweza kufahamu kwa uhakika kiwango cha oxygen (hewa safi) kwenye damu yako.
Matumizi ya kifaa hiki ni mahospitalini, majumbani na milimani kwenye kilele kwa wapaandaji wa mlima.
Availability: In stock
Related products
-
Nyumbani Kit
Kipimo cha Oxygen – Pulse Oximeter
Rated 5.00 out of 5TZs 60,000Original price was: TZs 60,000.TZs 53,900Current price is: TZs 53,900. Imiliki Leo!





Reviews
There are no reviews yet.