Pulse Oximeter -033

5/5
Pulse Oximeter ni Kifaa cha kupima kiwango cha Oxygen kwenye damu
Faida ya kuwa na kipimo cha oxygen kwenye damu ni kuwa na amani na uhakika wa hali yako ya afya kwa mtu anayeugua magonjwa yanayoshambulia mapafu na kuharibu mfumo wa upumuaji.
Kifaa hichi kitakushaidia kwa namna zifuatazo:
  • Epuka madhara yatokanayo na kupungua kwa oxygen mwilini!
  • Fahamu maendeleo yako katika kudhibiti tiba unayotumia
  • Epuka msongamano hospitali – jipime ukiwa nyumbani
  • Unaweza kujipima kiwango cha oxygen ukiwa popote sasa! Kifaa hiki ni kidogo, kinabebeka na chaji inadumu

Changamoto tunayokusaidia kuitatua ni kutokuelewa mustakbali wa afya yako pamoja na kuweza kufanyia tathimini tiba unayoendelea nayo. Kama unatumia dawa au unatumia oxygen ni muhimu kufahamu kama tiba au oxygen unayotumia inaongeza kiwango cha oxygen kwenye damu-lengo limefikiwa au la.

Kwa kuwa unaumwa ugonjwa mmoja, kila dalili inayojitokeza unaweza kusema inatokana na huo ugonjwa unaoumwa sasa. Ni muhimu kuweza kutofautisha dalili na kufahamu kama kweli ni dalili ya kupungua kwa oxygen au kuna kitu kingine. Kifaa hichi kitaweza kukubainishia haya kwa kuwa sasa utaweza kufahamu kwa uhakika kiwango cha oxygen (hewa safi) kwenye damu yako.

Matumizi ya kifaa hiki ni mahospitalini na  majumbani.

Sh 60,000.0

Availability: In stock

SKU FPX-033 Categories , ,

1 review for Pulse Oximeter -033

  1. Rated 5 out of 5

    Dr Huwaida

    Haven’t get it
    I am trying to order it

    • Dr. Adinan J. MD. MSc. FDHS. FFogarty

      Dr. Adinan (verified owner)

      Hi Dr. Huwaida.
      Shukran for support.
      You can reach us through the following phone number: 0783 552 959
      When do you want?
      Thanks for support.
      Regards,

Add a review

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Unaweza kupata Pulse Oximeter -033 leo. Nini ungependa kuuliza?