Vifaa kozi za afya- Vifaa muhimu vya kuanzia. Hivi ni vifaa muhimu kwa mwanafunzi wa kozi za Uuguzi-Nursing na clicinical medicine na kwa wahudumu wa Afya.

Kuwa Mtaalamu Bora Wa Afya

Tumia vifaatiba muhimu vya mafunzo vilivyothibitika na vyenye warranty mpaka umalize

99,000/=

Siku
Saa
Dakika
Sekunde

SCRUBS-HES_12160

BPSTAN01_1826

HES-SP-D-SET-Starter_1873

HES-SP-D-SET-MD-1_1869

HES-SP-D-Coat-01_9868

Ninunue Vifaa Gani? Aina Gani na Vingapi?

Kama tulivyoona mambo 4 muhimu

  1. vifaa vya kujifunzia kozi za afya ni Lazima kuwa navyo ili uwe bora.
  2. Lakini pia tumeona kwamba vifaa hivi hutofautiana kati ya kada na kada.
  3. Lakini tumeona kwamba vifaa hivi kwa ujumla wake ni vingi na ni gharama kubwa.

Unaweza kujiuliza, kwa kuanzia uwe na vifaa gani? Hili ni swali ambalo kwa utaalamu na uzoefu wa kufundisha kwa ziadi ya miaka 10 nitakujibu.

Nitakutajia vifaa hivi muhimu ili uweze kusoma, kufaulu vizuri na kuwa bora. 

Endelea….

Ukiwa na vifaa saba (7) unaweza kufanya vizuri. Vifaa hivi ni 1-BP Machine; 2-Stethoscope; 3-Thermometer; 4-Patella hammer; 5-Pen torch; 6-Tape measure na 7-Theatre goggles / Goniometer (Wanafunzi wa Physiotherapy).

Kwa vifaa hivi unaweza kusoma kozi ya uuguzi , kozi ya utabibu na udaktari, na kozi ya physiotherapy, na occupational therapy. 

Kwasasa tunakupatia seti hii kwa bei ya punguzo. Ukiweka oda yako leo unakua umeokoa TSh. 40,000/-. Kwani tunakupatia vifaa hivi kwa TSh. 99,000/= badala ya 140,000/=.

Pia, ukihitaji medical coat, bei ndo inakuwa nafuu kabisa. Kwani utaokoa TSh. 60,000 nzima – tizama Basic Set hapo chini. 

99,000/=

Siku
Saa
Dakika
Sekunde

Starter Set

119000
Sh 99,000
0
  • BP Machine
  • Stethoscope
  • Thermometer
  • Patella hammer
  • Pen torch
  • Tape measure
  • Theatre goggles / Goniometer (Wanafunzi wa Physiotherapy)

Basic Set

Sh 159,000
0
  • Kipimo cha Kisukari
  • Kipimo cha Presha
  • Kipimo cha Mishipa ya Fahamu

Premium Set

  • Kipimo cha Kisukari
  • Kipimo cha Presha
  • Kipimo cha Mishipa ya Fahamu
  • Kipimo cha Uzito

Kwanini Tunaaminiwa?

Uadilifu

Tunatenda tulichokubaliana

Uharaka

Tuko kukuhudumia popote ndani ya saa 24

Thamani

Ubora na warranty ya Uhakika mpaka umalize

Amani

Unahudumiwa na Daktari na Mkufunzi wa Vyuo

Vyuo Vinavyotuamini

Tumekuwa tukiwapatia Vifaatiba Wanafunzi wa Vyuo Hivi Tangu Mwaka 2016

Wasemavyo Mteja wetu

“Dr. Asante sana. Kweli ninyi ni waaminifu. Bado natumia vifaa vyenu. Sasa ni Mwaka wa 3”
Jonas Meed, Student Faraja
“Nilifikiri nyie ni matapeli. Asanteni sana. Nitawaletea Wateja”
Teresia Mushi, Student St. Joseph

Una Maswali Haya? Bonyeza Kuona Majibu

Ndiyo vifaa vyote vya AFYATech vina warranty. Ndiyo maana tunasisitiza uweke oda yako online ili tuweze kukuhudumia changamoto yeyote inapojitokeza

Kuweka oda kwenye website yetu kuna rahisisha huduma ikiwa tatizo lolote litatokea kwenye kifaa. 

Mfano tutafahamu kwa haraka uko wapi na bidhaa uliyochukua na nani alikuhudumia. Hivyo itapunguza muda wa kutatua changamoto. 

Pia tumeweka warranty yako kwa Email kwasababu ni ngumu kupotea kuliko risiti ambayo ukiacha kupotea, huweza kufutika pia/

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

AFYATech tunakupa bidhaa uliyoiona na kuichagua kwenye website yetu. Ikiwa hutopendezwa na bidhaa yetu wakati umepokea tunakurudishia pesa yako

Unaweza kulipa kabla au mara tu baada ya kupokea bidhaa yako. Hii ni kwasababu ya kutunza uaminifu na kukupa uhuru wa kuagiza bila stress

Bila shaka. Lengo letu ni kukusaidia kuboresha afya yako na ya watu unaowathamini. Tumetengeneza video za maelekezo. Pia tutakuelekeza moja kwa moja kama video haitoshi. 

Moshi-HQ,
Dar – Agent,
Mwanza – Agent,
Dodoma – Agent,
Arusha – Agent
Singida – Agent,
Morogoro – Agent,
Ifakara – Agent,
Mbeya – Agent, na
Zanzibar – Agent.

👉Kwingine kote tunasafirisha ndani ya saa 24.

Tuna vifaa kutoka India, China, Uturuki, South Korea nk. Hatahivyo, sisi tumejikita kwenye ubora zaidi kuliko sehemu bidhaa imetoka. Na tumekuwa tukitumia majibu ya tafiti kuamua bidhaa ya kuagiza kwa ajili ya matumizi yako na kwa watu unaowathamini.

Kuwa Bora

Okoa 40,000/= Pata vifaatiba Utakavyoviamini Muda wote wa Mafunzo na Baada. 
Warranty mpaka Umalize Chuo + Online Books

99,000/=

Siku
Saa
Dakika
Sekunde
Shopping Cart