Sale!

Dhibiti Kisukari na Vifaa Sahihi

5/5

Vidonda vya Kisukari ni Tishio: Usisubiri! Ugonjwa wa kisukari unaweza kuleta vidonda hatari. Kwa nini kusubiri hadi itokee? Unaweza kuchukua hatua sasa pale unapofahamu hali yako ya afya. Tumia vifaa vitatu kufahamu hali yako ya afya

Kwa bei ya offer, pata leo Kipimo cha presha, kisukari na cha hisia miguuni (Monofilament).  Hivi ni vifaa vya haraka na rahisi kugundua hatari za kisukari kwa miguu yako. Hakuna sababu ya kusubiri, wakati ni muhimu!

Original price was: Sh 229,000.0.Current price is: Sh 159,000.0.

Hatua Ndogo, Mabadiliko Makubwa: Nunua Sasa! Kwa nini usisimame kidete kudhibiti kisukari? Pata BP Machine, Glucometer, na Monofilament sasa. Unaweza kuboresha afya yako, na sisi tupo hapa kukusaidia kwenye safari hii. Ndiyo maana leo tunakupa offer maalum kwa ajili yako. 

Je nahitaji vifaa hivi sasa? Unaweza kujiuliza, “Je, nahitaji vifaa hivi sasa?” Jibu ni ndio! Kuchukua hatua sasa kunaweza kuzuia madhara makubwa ya kisukari. Tunakuhimiza ujitunze na kuweka afya yako mikononi mwako. Nunua vifaa hivi leo na anza kusimama dhidi ya kisukari.

Dhibiti na epuka madhara ya kisukari na presha unapotumia vifaa hivi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Dhibiti Kisukari na Vifaa Sahihi”

Specify Facebook App ID and Secret in the Super Socializer > Social Login section in the admin panel for Facebook Login to work

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Okoa -31% leo!. Ungependa kuuliza kuhusu bidhaa hii?