1. Mwanzo Mzuri
– Gharama: TSh. 9,900 Kwa Mwezi
– Huduma:
– Ushauri wa Wiki: Pata ushauri wa kitaalamu kwa simu au ujumbe wa WhatsApp kila wiki.
– Jukwaa la Mtandaoni: Jiunge na jukwaa letu la mtandaoni kwa msaada na kubadilishana uzoefu.
– Rasilimali za Kidigitali: Soma makala kuhusu kisukari, presha, na magonjwa mengine kwenye tovuti ya AFYATech.
– Vipimo muhimu: Nunua vifaa vya kufuatilia na kudhibiti kisukari nyumbani kwa bei ya punguzo.
Jiunge na Mlo Plan Leo!
Kila mpango wa Mlo Plan umeandaliwa kutoa suluhisho bora la kudhibiti kisukari na presha, kulingana na mahitaji na mapendeleo yako. Chagua mpango unaokufaa na anza safari yako ya kuelekea afya bora leo!
Tafadhali Bonyeza Ipate Leo kujiunga na Programu ya Mwanzo Mzuri
2. Lishe Bora
– Gharama: TSh. 24,900 Kwa Mwezi
– Huduma:
– Mpango wa Chakula wa Wiki: Pata ratiba ya chakula iliyoandaliwa kulingana na vyakula unavyovipenda.
– Kitabu cha Elimu ya Lishe: Jifunze nini cha kula na jinsi ya kuchanganya vyakula bila kupandisha sukari.
– Ushauri wa Moja kwa Moja: Pata msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wetu.
– Huduma Zote za Mwanzo Mzuri: Pamoja na yote yaliyomo kwenye mpango wa “Mwanzo Mzuri.”
Jiunge na Mlo Plan Leo!
Kila mpango wa Mlo Plan umeandaliwa kutoa suluhisho bora la kudhibiti kisukari na presha, kulingana na mahitaji na mapendeleo yako. Chagua mpango unaokufaa na anza safari yako ya kuelekea afya bora leo!
[Tafadhali Bonyeza Ipate Leo kujiunga na Programu ya Lishe Bora
3. Lishe Dhahabu
– Gharama: TSh. 49,900 Kwa Mwezi
– Huduma:
– Makongamano ya Afya: Nafasi ya kuhudhuria makongamano ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
– Utoaji wa Vipimo: Kuletewa vifaa vya vipimo ulivyoagiza mahali ulipo.
– Punguzo la Glucose Strips: Pata punguzo la bei ya glucose strips.
– Huduma Zote za Lishe Bora: Pamoja na yote yaliyomo kwenye mpango wa “Lishe Bora.”
Jiunge na Mlo Plan Leo!
Kila mpango wa Mlo Plan umeandaliwa kutoa suluhisho bora la kudhibiti kisukari na presha, kulingana na mahitaji na mapendeleo yako. Chagua mpango unaokufaa na anza safari yako ya kuelekea afya bora leo!

Reviews
There are no reviews yet.