Jifahamu Boresha Afya Yako

Hongera kwa kujali afya yako na karibu kutumia vikokotoo vyetu. Hapa kuna hatua rahisi za kufuata:

Fahamu Tarehe ya Kujifungua, siku za hatari na panga ujauzito




  1. Kufahamu lini utajifungua au siku za hatari – Ingiza Tarehe Uliyoanza Hedhi ya Mwisho:
    • Tafadhali, siyo tarehe uliyomaliza

  2. Kama unataka kujua lini ubebe mimba -Ingiza Tarehe Unayotaka Kujifungua:
    • Ikiwa unataka kujifungua tarehe maalum, ingiza tarehe hiyo katika sehemu husika

  3. Bonyeza Kitufe cha “Hesabu”:
    • Baada ya kujaza taarifa zako
Fahamu Uwiano wa Uzito na Urefu Wako

Ingiza Uzito wako katika Kilo na Urefu katika Sentimita





Una unene wa kupitiliza. Inabidi Upunguze Uzito.Bonyeza FAHAMU MIZANI kufahamu Unavyoweza Kufuatilia Uzito Ukitumia Mizani Maalum

Nawezaje kufahamu Uwiano wa Uzito na Urefu Wangu?

Kufahamu BMI yako unatakiwa ufahamu vitu viwili: urefu wako katika mita, na uzito wako katika kilogram.

Kisha, zidisha urefu wako mara urefu. Kisha, gawanya uzito wako kwa urefu*urefu. 

Kwa mfano, kama una kilo 75Kg na urefu wa 1.5m, BMI yako ni = 75/(1.5*1.5)=75/2.25=33.3. Au kama una kilo 70kg na urefu wa 2m: BMI= 70/(2*2)=70/4=17.5. 

Hatahivyo kukurahisishia kazi, tunakupatia kifaa ambacho kitakufahamisha BMI yako kwa haraka.

[health_parameters]

Shopping Cart
Muulize Dr. Adinan
1
Muulize Dr. Adinan
Chat na Dr. Adinan
Hello 👋.
Ungependa kuuliza nini kuhusu Jifahamu Boresha Afya Yako?
Mimi ni Dr. Adinan