Be the first to review “Oxygen Cylinder and Pulse Oximeter” Cancel reply
Oxygen Cylinder and Pulse Oximeter
★★★★★ 5/5
Oxygen Cylinders & Infrared Thermometer:
🏥 Mpaka sasa tumefahamu mambo matatu 1) Corona ni homa ya mapafu. 2) Inaathiri UPUMUAJI, na hivyo KUPUNGUZA OXYGEN kwenye damu na 3) Dalili moja wapo ni JOTO KALI.
🏥 Mtungi utakusaidia kutunza Oxygen pale inapohitajika.
🏥 Pulse Oximeter itakuwezesha KUPIMA na KUFAHAMU kiwango cha OXYGEN kwenye damu yako
👍 Kuchangia jitihada za KUPAMBANA na CORONA, AFYATech imetoa PUNGUZO la zaidi ya 70,000/= kwenye vifaa hivi.
WEKA ORDER YAKO SASA! OFFER Hii ni ya MUDA MFUPI!
Sh 440,000.0
Categories Oxygen Cylinders, Pulse Oximetry
Reviews
There are no reviews yet.